Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Soma mwenyewe uone toka a/c yake huko X...... Umezoea kusema uongo sana na ndio imekuwa silaha yako mara zote kushambulia watu na kuwafanyia bullying ili wakae kimya . Kwa taarifa yako siku za...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Katibu Mkuu mpya wa NCCR-Mageuzi, Evaline Munisi, amesema chama hicho kipo tayari kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa nafasi za Rais, wabunge na madiwani, huku kikidhamiria kukiondoa...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Ushahidi: 1. Pitia threads karibu zote hapa JF; hususani zile zitokazo kwa wanaojifanya kuichukia, utakuta wanaitaja ccm Kila baada ya maneno manne au matano.......huu ni u-CCM. 2. Mbio za...
4 Reactions
18 Replies
777 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameendelea kushambulia vikali kauli ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Nimejikuta nacheka utafikiri nimecheka kwa mazuri,ukikuta unamsifia baba wa mwenzio kutunza familia yake vizuri na kusimama kwenye nafasi yake kama kiongozi wa familia, basi kwa vyovyote ni matusi...
1 Reactions
5 Replies
318 Views
Bakwata wakati wanatuizia Uoga, kule Kenya Waslama wamesema endapo mpango wa kuwaongezea mishahara Wabunge utatekelezwa basi wataingia Barabarani. kwa kifupi wamechoka kuona raia wakiwa masikini...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya...
2 Reactions
2 Replies
456 Views
Wananchi wa Kanda ya Kaskanini mwa Tanzania wanashangazwa na matukio yanayoendelea katika eneo hilo, hususan kuhusu ziara ya Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla. Wanauliza...
1 Reactions
2 Replies
429 Views
Kwa mfano, leo nimemsikia Mkuu wa Mkoa wa Tabora akiahidi Tshs Milioni 60 kwa wachezaji wa Tabora kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga. Huu ni mfano mmoja tu miongoni mwa mingi ya namna hii. Swali...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma. Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wapi kwenye afadhali? Mbona kila mahali ni majanga?? Mwisho wa siku mwananchi ndio anabeba mzigo wote huu. Halafu mazwazwa yako busy kusema tano tena. Shame.! Credit: Maudhui ni Malisa G.J
14 Reactions
120 Replies
5K Views
Wajumbe 22 wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo wakiwa wamesimama mbele ya bango lenye kaulimbiu isemayo kwamba "Umoja na Mshikamano ni Chachu ya Maendeleo ya Taifa" I. Utangulizi...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA WA IDD ADH-HA 1445 - JUNI 17, 2024 UTANGULIZI Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema kwa kutupa fadhila...
25 Reactions
47 Replies
3K Views
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda. Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Kero kubwa madimbwi mengi magari yanaharibika
0 Reactions
1 Replies
391 Views
Wazungu huwa wanaomba visa kuja huku kwetu? Maaaana sisitunavoteseka kuomba hizo viza ni aibu kila mwez ubalozin
1 Reactions
14 Replies
603 Views
Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia...
3 Reactions
90 Replies
2K Views
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akieleza kuwa haiwezekani uchaguzi kuwa huru na wa haki chini ya mfumo wa sasa...
2 Reactions
7 Replies
747 Views
Website ya Ubalozi wetu Brazil Inavutia Sana. Karibu tujionee namna ambavyo Balozi zetu zinavyovutia wawekezaji. Ambassador's Message | Tanzania Embassy in Brasilia, Brazil Ubalozi wa Kenya...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa...
21 Reactions
87 Replies
5K Views
Back
Top Bottom