Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya miaka 11 ya kuibuka kwa kashfa ya Tegeta Escrow mwaka 2014 iliyoihusisha Shirika la Umeme (Tanesco) na Independent Power Ltd (IPTL), sakata hilo limeendelea kuibuka kila mara likija na...
1 Reactions
2 Replies
534 Views
Tumefika mahali wengine tumechanganyikwa na dhana ya No Reform No election, Mimi naomba wachambuzi wa mambo mnisaidie. Ukiangalia ni kweli uchaguzi wa 2019, 2020 ulikuwa mbaya haijawahi kutokea...
2 Reactions
8 Replies
463 Views
Wakati tunachambua ripoti ya CAG, nilazima tujifunze mambo mapya kwa kurejea nyendo zetu za nyuma zilizozaa makosa yetu ya leo. Niliwahi kuhoji kipindi flani cha nyuma kuhusu aina ya...
7 Reactions
11 Replies
819 Views
Bila kupepesa macho huyu ni kirusi ndani ya CHADEMA kinachofanya jitahada za kukikwamisha chama kwa external force kutoka upande wakijani. Kwa nini CHADEMA wanamlealea au wanaogopa nini?
3 Reactions
21 Replies
925 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali, Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Katibu wa Siasa, Itikadi, uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Amos Makalla akivishwa vazi la uchifu la kabila la Wahehe akiwa Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa. Kupata matukio na...
1 Reactions
4 Replies
473 Views
Karibuni tujadiri bhana
3 Reactions
8 Replies
494 Views
Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki katika...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Mimi sio muisilam ila huwa napenda sana kufatilia mawaidha! Iftari za siku hizi si kuftrisha tena watu wenye uhitaji kama mayatima, wajane, wazee wasio jiweza na watu wengine wasio na uwezo...
6 Reactions
20 Replies
842 Views
Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Wapendwa Leo nimeona niwaombe radhi kwa nitakaowaudhi. Kama kuna kitu kinanisikitisha kwenye SIASA zetu ni kutokuwa na UKOMO VITI MAALUM Hiki kiti kumekuwa kama mwenye nacho apewe maana kuna...
3 Reactions
19 Replies
840 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ili nchi ikue ikuchumi inatakiwa kuwekeza kwenye viwanda kwani vitatengeneza ajira kwa vijana wengi.
1 Reactions
1 Replies
331 Views
Kampeni ya Mama Asemewe chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Geofrey Kiliba, imeandaa kongamano kubwa la wanavyuo kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Dodoma, litakalofanyika tarehe 29 Machi 2025 katika Ukumbi...
1 Reactions
17 Replies
758 Views
Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma. Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Naomba Watanzania mnaojua Kiswahili fasaha mje mnifafanulie Ni nani aliyefanya Matumizi haya na kwanini?
3 Reactions
10 Replies
775 Views
Taarifa ya Chama hicho iliyotumwa kote Duniani hii hapa Nyongeza: Ujasiri wa Mwapachu kuhama ccm ambayo inawafilisi wanaohamia Upinzani kama siyo kuwamaliza, Ni ujasiri wa kutukuka na unapaswa...
1 Reactions
6 Replies
490 Views
Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi. Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo, amesema hana wasiwasi kuhusu ushindani katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) taifa Sigrada Mligo amewataka watanzania kufanya mabadiliko kwa kuchagua madiwani toka vyama vya siasa tofauti...
1 Reactions
2 Replies
524 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…