Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati ya ushauri ya wilaya ya njombe imeridhia mapendekezo ya kubadili jina la jimbo la uchaguzi la Njombe Mjini na kuitwa jimbo la Njombe Kusini Wakizungumza katika kikao maalumu kilichofanyika...
0 Reactions
6 Replies
586 Views
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Viti 20 Bara Richard Kasesela amewataka wabunge walioko madarakani kuacha kuwakanyaga na kuwachoma wale wanaoonesha nia ya kugombea kwenye maeneo yao...
1 Reactions
8 Replies
527 Views
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe waliojitokeza kwenye mkutano ambao umefanyika leo Machi 22,2025 katika viwanja vya...
0 Reactions
4 Replies
599 Views
22 MARCH 2025 Dar es Salaam, Tanzania MWENYEKITI WA KANDA YA CHADEMA PWANI AFANYA JAMBO KWA WANANCHI WA DAR ES SALAAM Hotuba nzito za tolewa kuhusu umoja wa waTanzani katika Iftari iliyofanyika...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Baada ya kumaliza mazungumzo yenye Mafanikio Makubwa na Ubalozi wa Marekani, Viongozi wa Chadema mchana huu Wameingia Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Mambo ni mengi sana ila muda ni...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Kiukweli nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali hapa jukwaani,nilichojifunza Mosi: Ikiletwa hoja inayolinda maslahi ya Tanzania,Wengi huungana kutetea maslahi ya nchi bila kujali itikadi...
4 Reactions
12 Replies
544 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara Mary Daniel amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya Umoja huo badala yake wao wawe sehemu ya kutetea na kusaidia...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekeza juhudi zake katika kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi, kama vile umaskini na...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amepotea kutokana na matusi ya wanachama wa...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu amani ya Mungu ikawe juu yenu na kila mmoja kwa Imani yake. Mungu ananiambia ,akili yenu yote mmejikita namna ya kutoka kwenye hili la no reform no election. Sasa Mungu anawambia wazi...
1 Reactions
1 Replies
388 Views
Baada ya kiongozi kukiri kwamba Mfumo walioundaa wa Elimu ni mbovu alipaswa ajiuuzulu na awajibike kwa masikitiko kwa makubwa Vile vile serikali iwajibike kuchezea rasimali za nchi majengo mikopo...
12 Reactions
37 Replies
1K Views
Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba. Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwasababu bado dhana na hali ya kususia imetanda miongoni mwa vyama vya siasa, ikiwa ni pamoja na vyama vya siasa ambavyo vimeamua kujitenga na michakato ya kidemokrasi na kujikita kutafuta pesa...
3 Reactions
87 Replies
2K Views
Akiwa anazungumza leo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Miaka 50 ya Veta iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona...
2 Reactions
85 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Great Thinkers Hakuna jambo linakera kama 1. Kutosikiliza na kuenzi wataalamu wetu. 2 Kutowatumia wataalamu wetu kuelimisha jamii. 3. Kuwathamini wasomi na kuwafanya watembee kifua mbele. 4...
0 Reactions
3 Replies
377 Views
Wakuu, Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji, Rais Samia ameagiza kuanzishwa kwa mfumo wa kidijitali utakaowawezesha watumiaji wa maji kulipia huduma hiyo kulingana na...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Jiunge nasi sasa katika mjadala wa Tathmini ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Changamoto na Maboresho, ambapo unaweza kushiriki uzoefu wako, kutoa maoni, na kupendekeza maboresho...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Wananchi wa Dar kaeni Mkao wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇 My Take: Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt Benson Bagonza anazungumzia mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Kila Mtu anatakiwa...
16 Reactions
72 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…