Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,
"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama...
Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @Priscus Tarimo B amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini...
Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa...
Mwaka 2020 katika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, nikiwa nimevutiwa na Sera ya CHADEMA kuhusu kuanzisha utawala wa majimbo nchini Tanzania niliandika uzi kuonesha namna gani utawala huu...
Kwa mujibunwa taarifa ya Uchambuzi wa Uchumi kutoka BoT,Kwa mara ya kwanza katika historia ya 🇹🇿,sekta ya Kimo imeshika namba 1 na Kuongoza kama sekta kuu na Kiongozi wa kuchangia ukuaji mkubwa wa...
Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho.
Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na...
Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka...
Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi...
Kamati ya Bunge la Tanzania ya Nishati na Madini imefanya ziara mkoani Mbeya, hususan wilaya ya Chunya, ili kukagua miradi mbalimbali ya madini, ikiwemo shughuli za wachimbaji wadogo na wakubwa...
Nina imani Magufuli ataendelea kuwa rais si kwa sababu amefanya vema sana au ameutendea haki urais, ni kwa sababu zifuatazo:
1. Uchama Dola
Piga Ua CCM isiposhinda kihalali inashindishwa, hili...
Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma SAU, Majaliwa Kyara amesema ili kulinda maadili, kuimarisha malezi na kutunza nguvukazi ya Taifa, kuelekea mwaka 2050 ni muhimu wanawake waajiriwa wakawa na...
Katibu wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga amewataka wazazi kuacha kushiriki mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri, akisema vitendo hivyo vinawaharibu...
Hakuna haja ya Kuchoka hadi Shetani Atokomezwe, na hii ni nafasi kwa wewe ambaye hukubahatika kushiriki mchakato wa mwanzo, Usikose
Taarifa zaidi hii hapa
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama...
Pamoja na kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, CHADEMA haijawahi kufanikiwa kubadili hali au uelekeo wa siasa za Tanzania, walau hata kuchochea mabadiliko yoyote yenye tija...
Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akilakiwa na Vikundi vya ngoma akiwasili katika Ukumbi wa Kanisa kuzungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi Mbalimbali wilaya ya Mbozi, Leo...
Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega mjini na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Rais Samia dalili zi wazi anaelekea kukwama.
Kwa wajuzi wa mambo ya siasa watakubaliana na mimi kwenye hilo.
Waziri Bashe...
Wakuu huu ukimya imekaaje? NETO wamelambishwa asali na huenda ndiyo chanzo Cha ukimya wao. Vijana tuendeni tu shambani vijana wenzetu wameula Hawa na wameamua kulala mbele.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson kiswaga imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika kijiji cha Kizengi wilaya ya Uyui mkoani Tabora ...
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni...