DC KIBAHA AFUNGUA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI DAWASA
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es...
Mwananchi huyu kaeleza yote.
Kati ya sheria za kuchekesha na kuudhi kwa pamoja kwa mlipa kodi, ni hii sheria iliyopitishwa na Bunge wiki hii.
Ati nao WENZA wa viongozi wakuu , nao wapewe mafungu...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amekiri kuwa rushwa bado ni tatizo ndani ya chama hicho, akisema inasababisha kuchaguliwa kwa...
Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili...
My Take
Watu walihamia Dom Kwa shingo upande ila Kwa hili nampongeza Hayati Magufuli.
Huwezi kuwa na Nchi ambayo Haina balanced Development yaani 80% ya Mapato yanatoka Mji mmja.
Juhudi za...
Siasa ya vyama vingi kwa Tanzania ina umri wa miaka 33 sasa tangu virudishwe rasmi mnamo mwaka 1992.
Siasa hizi zimepitia chamngamoto nyingi ndani ya mfumo na sheria na mazingira kandamizi ya...
Hii nimeiona kwenye Group linajiita MATAGA ila CHADEMA wamo kibao. Nikaona niwatumie hapa nanyi muione.
====
"CCM Mkoa wa Mbeya wanatamba kuwa Ziara ya Rais Samia Wilaya ya Kyela ilifana sana...
Wadau nawasabahi.Kwa uchungu mkubwa nimezipokea taarifa za bunge la ccm kupitisha muswaada uliopelekwa bunge na mwenza wa rais mstaafu wa awamu ya 4 wa kutaka wenza wa viongozi wa juu kulipwa...
✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU
Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es...
Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao...
Hakika nimeshtushwa na Taarifa ya WENZA wa Viongozi Wakuu wa NCHI nao KULIPWA MAMILIONI ya Fedha.
Viongozi wetu hebu jaribuni KUMWOGOPA MUNGU wananchi mnaowaongoza ni Masikini sana wanaishi kwa...
according to AP, D.Trump na Israeli wana mpango wa ku clear gaza na kuwahamishia wapalestina somalia, somali land na sudan.
gaza kugeuzwa kuwa “riviela of the middle east” …
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na...
MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge...
Washington
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia WB Kanda ya Afrika Dr.Zarau Kibwe amesema wao Benki ya Dunia Wanaitambua Tanzania Kama Nchi inayoendeshwa Kwa Ufanisi zaidi barani Afrika.
Bwana Kibwe...
Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini...
Na huu ndio ukweli unakutana na mtu hajui chochote Cha maana zaidi ya mambo ya kijinga yasiyo na msingi na ndio sababu wengi wanatumiwa na wajanja kujinufaisha.
On top of that ujinga wa...
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la...