Kwanini bunge lilopitishwa muswaada wa wenza kilipwa ili hali waume/wake zao wanalipwa mamilioni na kwanini hawajulipwa kabla ya kustaafu?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,028
Wadau nawasabahi.Kwa uchungu mkubwa nimezipokea taarifa za bunge la ccm kupitisha muswaada uliopelekwa bunge na mwenza wa rais mstaafu wa awamu ya 4 wa kutaka wenza wa viongozi wa juu kulipwa mafao kama waume/wake zao wanavyolipwa baada ya kustaafu.

Najaribu kujiuliza hivi hili bunge la ccm liliutafakari kwa kina huu mswada au liliupitisha kwa maslahi ya ccm ? Kama wenza wanastahili kulipwa mafao ya kustaafu kama wanavyolipwa wenza wao najiuliza kwanini hawa wenza wanaotaka leo walipwe mafao kwanini hawakudai nao walipwe mishahara kama walivyolipwa mishahara wenza wao kabla ya kustaafu?

Ukweli ni kwamba kabla ya kustaafu unalipwa mshahara na baada ya kustaafu unalipwa mafao kwanini hawa wenza wadai mafao ya kustaafu wasidai mishahara ya wenza wao wakiwa kazini? Ukweli bunge la ccm halijatutendea haki masikini walipa kodi

.
 
Dawa ni kuja kuwafilisi hapo baadae kama wezi tuu wa rasilimali za wananchi.
Unajiuliza hata hao waitwao wabunge jee hawalioni hili kuwa sio sawa?
Au shida ni kuwa sio walio chaguliwa na wananchi bali walichomekwa tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nyie endeleeni kuungana na akina January Makamba na Mzee kinana kulaani uchaguzi wa 2020,mpo busy na madudu ya uongozi uliyopita na huku wenzenu wanafanya yao.
 
Wadau nawasabahi.Kwa uchungu mkubwa nimezipokea taarifa za BUNGE la CCM Kupitisha Muswaada uliopelekwa Bunge na MWENZA wa RAIS MSTAAFU wa Awamu ya 4 wa Kutaka WENZA wa Viongozi wa Juu kulipwa MAFAO kama Waume/Wake zao wanavyolipwa baada ya KUSTAAFU.
Najaribu kujiuliza hivi hili BUNGE la CCM liliutafakari kwa kina huu MSWADA au liliupitisha kwa Maslahi ya CCM ? Kama WENZA wanastahili Kulipwa MAFAO ya KUSTAAFU kama wanavyolipwa WENZA wao NAJIULIZA kwanini hawa WENZA wanaotaka leo walipwe MAFAO kwanini HAWAKUDAI nao WALIPWE MISHAHARA kama WALIVYOLIPWA Mishahara WENZA wao KABLA ya KUSTAAFU?
Ukweli ni kwamba Kabla ya KUSTAAFU unalipwa MSHAHARA na baada ya KUSTAAFU unalipwa MAFAO kwanini hawa WENZA wadai MAFAO ya KUSTAAFU wasidai MISHAHARA ya WENZA wao Wakiwa KAZINI? UKWELI BUNGE la CCM halijatutendea HAKI Masikini WALIPA KODI
.
1. Je hili fao kwa wenza wa Wastaafu lipo kikatiba?

2. Hivi Kikwete, Tulia, Samia, Mpango, Majaliwa, Zungu wanatuonaje Watanzania?
3. Inaonekana nchi ina hela nyingi sana za kuchezea hivi na kama ni hivyo kwa nini Samia anazungusha saaaana mabakuli nje ya nchi kuomba misaada?
4. Deni la taifa liko kiasi gani hadi sasa?

5. Kwenye hii nchi wanaolitumikia hili taifa ni hawa wanne tu Rais, Makamu wa Rais, waziri Mkuu, Spika wa bunge, Makamu wa Spika na ndo wanaostahili kulipwa fao hili wenza wao????

6. Hivi viapo vya hawa wanne kwa watano viapo vyao ni sawa na vya wanajeshi?
Wanajeshi wamekula kiapo cha kuitetea nchi hata ikibidi kifo, Rais na mume wake wamekula kiapo hicho?
Kwa nini wenza wa wanajeshi nao wasilipwe mafao?
CDF, DG wa TISS, DG wa PCCB, IGP, Madaktari, Waalimu nk wenza wao nao wakistaafu wapewe ili kusiwe na double standard.
Alaaniwe aliyetoa wazo hili la double standard, alaaniwe aliyepeleka mswaada, aliyeruhusu ujadiliwe na aliyeusaini kuwa sheria.

Wadau nawasabahi.Kwa uchungu mkubwa nimezipokea taarifa za BUNGE la CCM Kupitisha Muswaada uliopelekwa Bunge na MWENZA wa RAIS MSTAAFU wa Awamu ya 4 wa Kutaka WENZA wa Viongozi wa Juu kulipwa MAFAO kama Waume/Wake zao wanavyolipwa baada ya KUSTAAFU.
Najaribu kujiuliza hivi hili BUNGE la CCM liliutafakari kwa kina huu MSWADA au liliupitisha kwa Maslahi ya CCM ? Kama WENZA wanastahili Kulipwa MAFAO ya KUSTAAFU kama wanavyolipwa WENZA wao NAJIULIZA kwanini hawa WENZA wanaotaka leo walipwe MAFAO kwanini HAWAKUDAI nao WALIPWE MISHAHARA kama WALIVYOLIPWA Mishahara WENZA wao KABLA ya KUSTAAFU?
Ukweli ni kwamba Kabla ya KUSTAAFU unalipwa MSHAHARA na baada ya KUSTAAFU unalipwa MAFAO kwanini hawa WENZA wadai MAFAO ya KUSTAAFU wasidai MISHAHARA ya WENZA wao Wakiwa KAZINI? UKWELI BUNGE la CCM halijatutendea HAKI Masikini WALIPA KODI
.
 
Wadau nawasabahi.Kwa uchungu mkubwa nimezipokea taarifa za BUNGE la CCM Kupitisha Muswaada uliopelekwa Bunge na MWENZA wa RAIS MSTAAFU wa Awamu ya 4 wa Kutaka WENZA wa Viongozi wa Juu kulipwa MAFAO kama Waume/Wake zao wanavyolipwa baada ya KUSTAAFU.
Najaribu kujiuliza hivi hili BUNGE la CCM liliutafakari kwa kina huu MSWADA au liliupitisha kwa Maslahi ya CCM ? Kama WENZA wanastahili Kulipwa MAFAO ya KUSTAAFU kama wanavyolipwa WENZA wao NAJIULIZA kwanini hawa WENZA wanaotaka leo walipwe MAFAO kwanini HAWAKUDAI nao WALIPWE MISHAHARA kama WALIVYOLIPWA Mishahara WENZA wao KABLA ya KUSTAAFU?
Ukweli ni kwamba Kabla ya KUSTAAFU unalipwa MSHAHARA na baada ya KUSTAAFU unalipwa MAFAO kwanini hawa WENZA wadai MAFAO ya KUSTAAFU wasidai MISHAHARA ya WENZA wao Wakiwa KAZINI? UKWELI BUNGE la CCM halijatutendea HAKI Masikini WALIPA KODI
.
🆒📝👊💐🛡️
 
Wenza, Mafao, Mishahara, Muswaada.... kwahiyo Mzee Kizimkazi naye yumo kwenye hao WENZA?
 
Back
Top Bottom