Ushauri: Wenza wa Wabunge nao walipwe mafao kama wenza wa viongozi wa juu

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao Wanatekeleza Majukumu yao.

Kutokana na hilo Mimi NAPENDEKEZA WENZA wa Wabunge nao Wanastahili KILIPWA MAFAO kama Wanavyolipwa WENZA wa VIONGOZI wa JUU.Kazi za UBUNGE ni ngumu sana Mbunge anakaa nje ya Kwake kwa miezi 3 BUNGE la BAJETI hali ambayo

Inaifanya Familia ya itumie AKILI Maisha yaendelea licha ya Mbunge kuwa BUNGENI

Pia Wabunge wamekuwa nao wakiumiza Akili kwa kuchambua Miswaada mbalimbali na Kutunga Sheria.

Kutokana na hali hiyo Naomba Wahusika Waliangalie kwa ukaribu suala hili.

==
Soma Wenza nao kulipwa mamilioni halikubaliki viongozi muogopeni Mungu
 
Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao Wanatekeleza Majukumu yao.
Kutokana na hilo Mimi NAPENDEKEZA WENZA wa Wabunge nao Wanastahili KILIPWA MAFAO kama Wanavyolipwa WENZA wa VIONGOZI wa JUU.Kazi za UBUNGE ni ngumu sana Mbunge anakaa nje ya Kwake kwa miezi 3 BUNGE la BAJETI hali ambayo
Inaifanya Familia ya itumie AKILI Maisha yaendelea licha ya Mbunge kuwa BUNGENI
Pia Wabunge wamekuwa nao wakiumiza Akili kwa kuchambua Miswaada mbalimbali na Kutunga Sheria.Kutokana na hali hiyo Naomba Wahusika Waliangalie kwa ukaribu suala hili.
Naunga mkono, kila mtu ajichotee
 
"Familia itumie akili maisha yaendelee" Maana yake nini? Wanakuwa, omba omba, mama anachepuka Sana kutuliza munkari, au nini?
Kwanini walipwe mafao? Jukumu la, mapato ya mbunge ni pa moja na kutunza familia yake, sasa kwanini tulipe na mumewe au, mke?
Kwa, logic hiyo hiyo, basi hata wafanyakazi, walioajiliwa, wenza wao walipwe mafao! Maana huwa, wanaangslia familia wenzao, wakiwa, makazini!
Kenge kabisa,
Basi walipieni na watoto wao fees, mbwa wao chakula, beki tatu zao mishshara
 
Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao Wanatekeleza Majukumu yao.

Kutokana na hilo Mimi NAPENDEKEZA WENZA wa Wabunge nao Wanastahili KILIPWA MAFAO kama Wanavyolipwa WENZA wa VIONGOZI wa JUU.Kazi za UBUNGE ni ngumu sana Mbunge anakaa nje ya Kwake kwa miezi 3 BUNGE la BAJETI hali ambayo

Inaifanya Familia ya itumie AKILI Maisha yaendelea licha ya Mbunge kuwa BUNGENI

Pia Wabunge wamekuwa nao wakiumiza Akili kwa kuchambua Miswaada mbalimbali na Kutunga Sheria.

Kutokana na hali hiyo Naomba Wahusika Waliangalie kwa ukaribu suala hili.
Waanzishe umoja wao wa kuweka na kukopa wasituharibie kodi zetu
 
Hakuna watu wanaoumiza vichwa kama maaskari wa JWTZ nchi hii. Mfano kwa Sasa wako CAR, Lebanon, Msumbuji, Yemen na kwingineko. Wako mbali na familia zao waki-risck maisha yao. Napendekeza wake zao wapewe mafao
 
Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao Wanatekeleza Majukumu yao.

Kutokana na hilo Mimi NAPENDEKEZA WENZA wa Wabunge nao Wanastahili KILIPWA MAFAO kama Wanavyolipwa WENZA wa VIONGOZI wa JUU.Kazi za UBUNGE ni ngumu sana Mbunge anakaa nje ya Kwake kwa miezi 3 BUNGE la BAJETI hali ambayo

Inaifanya Familia ya itumie AKILI Maisha yaendelea licha ya Mbunge kuwa BUNGENI

Pia Wabunge wamekuwa nao wakiumiza Akili kwa kuchambua Miswaada mbalimbali na Kutunga Sheria.

Kutokana na hali hiyo Naomba Wahusika Waliangalie kwa ukaribu suala hili.
Acheni mzaha. We wasema tu. Hv wajua kwamba hao jamaa wakiinasa tu hii wasivyo na haya watapeleka kweli miswada. Na muswali wa namna hiyo huwa unapita muda mfupi tu tena kwa kishindo
 
"Familia itumie akili maisha yaendelee" Maana yake nini? Wanakuwa, omba omba, mama anachepuka Sana kutuliza munkari, au nini?
Kwanini walipwe mafao? Jukumu la, mapato ya mbunge ni pa moja na kutunza familia yake, sasa kwanini tulipe na mumewe au, mke?
Kwa, logic hiyo hiyo, basi hata wafanyakazi, walioajiliwa, wenza wao walipwe mafao! Maana huwa, wanaangslia familia wenzao, wakiwa, makazini!
Kenge kabisa,
Basi walipieni na watoto wao fees, mbwa wao chakula, beki tatu zao mishshara
Duh
 
Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao Wanatekeleza Majukumu yao.

Kutokana na hilo Mimi NAPENDEKEZA WENZA wa Wabunge nao Wanastahili KILIPWA MAFAO kama Wanavyolipwa WENZA wa VIONGOZI wa JUU.Kazi za UBUNGE ni ngumu sana Mbunge anakaa nje ya Kwake kwa miezi 3 BUNGE la BAJETI hali ambayo

Inaifanya Familia ya itumie AKILI Maisha yaendelea licha ya Mbunge kuwa BUNGENI

Pia Wabunge wamekuwa nao wakiumiza Akili kwa kuchambua Miswaada mbalimbali na Kutunga Sheria.

Kutokana na hali hiyo Naomba Wahusika Waliangalie kwa ukaribu suala hili.
Alaaniwe salma kikwete na uzao wake wote.
 
Acheni mzaha. We wasema tu. Hv wajua kwamba hao jamaa wakiinasa tu hii wasivyo na haya watapeleka kweli miswada. Na muswali wa namna hiyo huwa unapita muda mfupi tu tena kwa kishindo
Na kwa kusanyiko lile la vilaza wa CCM watapitisha saa nne asubuhi tu.
 
Mama Salma na Kikwete watakuwa wamepiga bingo moja ya hatari. Imagine:
1. Mama Salma analipwa mafao ya kuwa mke wa Rais
2. Kikwete JK analipwa mafao ya kuwa mume wa mbunge
3. Mke wa Ridhwan Kikwete analipwa kwa kuwa mke wa mbunge
4. Kikwete analipwa 80% ya mshahara wa rais aliyepo madarakani plus benefits nyingine kibao.

Hatari sana
 
Back
Top Bottom