Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu ili kujenga taifa lenye uchumi imara na imara ni muda wa shirika la umeme Tanzania TANESCO kuweka utaratibu wa kuwaungia umeme wateja wapya ambao hawana uwezo wa kulipia gharama za umeme kwa...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha...
10 Reactions
80 Replies
4K Views
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same Soma Pia: Rais Samia...
15 Reactions
249 Replies
10K Views
Kwasababu huyu wajina wangu Majaliwa katupatia hoja mezani, lazima tuijadili, kwa akili za wazi kabisa Nchi yetu sasa ina watu kama milioni 70 ambao asilimia 50 (Milioni 35) wana umri chini ya...
6 Reactions
12 Replies
701 Views
Kitaalamu serikali huwa Ina njia zake za kukwepa hoja na kujisafisha. Hivyo kila utawala huwa unakuaga na kiongozi anayetupiwa takataka ili azibebe na kuwaltea wananchi. Rais alipofariki - hii...
5 Reactions
12 Replies
723 Views
Habari wana jamvi. Bila shaka mko vizuri. Nimekuwa nasikitika sana kuona hawa ndugu zetu wa ukanda wa SADC jinsi wanavyotutendea ilhali tuliwasaidia sana kwa hali na mali wakati wa kupigania...
6 Reactions
23 Replies
932 Views
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika...
54 Reactions
142 Replies
8K Views
Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile...
11 Reactions
64 Replies
3K Views
Awamu hii ya sita wenye pesa wana pesa mpaka wanatambaa kama walevi waliozidiwa na pombe na maskini kwao hata kupata elfu kumi na tano kwa siku ni ngumu sana,Naongelea kwa sasa kupata chenji ya...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
TAARIFA za kuumwa kwa Mheshimiwa Hussein Bashe zimetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lakini hadi sasa haijawekwa wazi anaumwa nini na amelazwa hospitali gani ili watanzania wenye nafasi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi? 1. Simiyu 2. Geita 3. Songwe 4. Manyara 5. Katavi 6. Njombe
9 Reactions
111 Replies
6K Views
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini. Kwa mujibu wa...
11 Reactions
128 Replies
9K Views
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo waliokuwa wamezuiwa kuingia nchini Angola wamerejea Tanzania usiku wa Machi 14, 2025, saa 9:40. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya Mambo...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Imefika wakati sasa Tanzania inabidi tuliangalie tatizo la ajira kwa jicho pevu maana hili bomu karibu linalipuka. Idadi ya degree zinazotoka vyuoni kila mwaka ni namba inayotisha ukizingatia huku...
3 Reactions
6 Replies
495 Views
SIYO DHAMBI KUTUMIA AKILI KATIKA SIASA. Hapa chini kuna picha 3 zimenifikisha sana. Unafikiri mpaka unatoa jasho katikati ya baridi kali. 1. Picha ya kwanza inamuonyesha mtu aliyefungiwa ndani...
3 Reactions
6 Replies
466 Views
Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au...
9 Reactions
78 Replies
2K Views
Kamati ya Ushauri (RCC) ya Mkoa wa Rukwa imeridhia kugawanywa kwa Jimbo la Uchaguzi la Kwela lililoko Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
3 Reactions
2 Replies
430 Views
Machi 14, 2025 katika Ukumbi wa Kwa Mkapa Arena Kijiji cha Nyamisisye Kata ya Kukirango amesema kuwa mafunzo waliopata maafisa usafirishaji yatapelekea uzingatiaji wa sheria za usalama barabarani...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
UTAKAPOKUWA ASKARI; USISAHAU MAMBO HAYA. Anaandika Robert Heriel. Na endapo utaamua kuwa Askari, iwe wa Kulinda Amani, au wa kulinda Mali, au kulinda na kusimamia sheria au amri Fulani, iwe...
25 Reactions
62 Replies
6K Views
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…