Awamu ya sita wenye pesa wana pesa kweli, na maskini ni maskini kweli

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,099
Awamu hii ya sita wenye pesa wana pesa mpaka wanatambaa kama walevi waliozidiwa na pombe na maskini kwao hata kupata elfu kumi na tano kwa siku ni ngumu sana,Naongelea kwa sasa kupata chenji ya elfu kumi ni shida sana kwa maskini.

Tunapoongelea ubepari wengi walikuwa hawaelewi maana yake lakini sasa wanapata picha kamili ya neno Free capitalism.

Wakati vita ya Ukraine inaanza tulielezea hapa madhara ya muda mrefu wa vita lakini Kuna watu walikuja na kutupinga hapa JF kuhusu ongezeko la bei za bidhaa na shilingi kupoteza thamani.

Watu waliohodhi Dola za kimarekani sasa wanaishi Maisha kama walevi, Maisha ya kunywa na kutambaa

Kwa sisi wafanyabiashara neno dola linatuumiza vichwa sana kwani tunatumia shilingi nyingi sana kupata dola Moja ya kimarekani ili tuagize bidhaa na Mali ghafi.

Ni Nani anaumia kwa sasa?
Walio na pesa wana pesa kweli na maskini kwa sasa ni maskini kweli.

Ingawa pesa inazidi kuzunguka wewe kwanini pesa haikufikii awamu hii ya sita?

Baadhi ya sisi wafanyabiashara unaamua kutafuta dola unakokujua wewe lakini ukisubiri za kubadilisha na shilingi basi utaambiwa na Bank njoo kesho baada ya kesho unaambiwa tumepata kidogo sana hivyo mlipe supplier wako kiasi kidogo utamalizia
 
Awamu hii ya sita wenye pesa wana pesa mpaka wanatambaa kama walevi waliozidiwa na pombe na maskini kwao hata kupata elfu kumi na tano kwa siku ni ngumu sana,Naongelea kwa sasa kupata chenji ya elfu kumi ni shida sana kwa maskini

Tunapoongelea ubepari wengi walikuwa hawaelewi maana yake lakini sasa wanapata picha kamili ya neno Free capitalism

Wakati vita ya Ukraine inaanza tulielezea hapa madhara ya muda mrefu wa vita lakini Kuna watu walikuja na kutupinga hapa JF kuhusu ongezeko la bei za bidhaa na shilingi kupoteza thamani

Watu waliohodhi Dola za kimarekani sasa wanaishi Maisha kama walevi ,Maisha ya kunywa na kutambaa

Kwa sisi wafanyabiashara neno dola linatuumiza vichwa sana kwani tunatumia shilingi nyingi sana kupata dola Moja ya kimarekani ili tuagize bidhaa na Mali ghafi

Ni Nani anaumia kwa sasa?
Walio na pesa wana pesa kweli na maskini kwa sasa ni maskini kweli

Mimi pesa hainifikii nahisi kwakuwa sina bidhaa za kuuza
 
TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WACHA WAJANJA WALITAFUNE WATAKAVYO MIKOPO INAMIMINIKA MATOZO kwa WINGI NCHI INANUKA PESA
 
Mada yako ni ipi au nini hasa, ndugu?
Maana umeongelea mengi:-

1. Matajiri (wapi au wamefanya nini?)

2. Uhaba au kuimarika kwa U$ vs TZS - shida nini hasa?

3. Mzunguko wa hela haziwafikii ( hukusema ninyi akina nani au mko wapi wala mnafanya nini?)

4. "Vita" (uvamizi) wa Russia kwa Ukraine - unataka nini kifanyike au nani afanye nini?

Ushauri: ungejikita kwenye hoja unayotaka kwa kina ili tuweze kuchangia vizuri.
 
Hebu tujadili haya yote uliyoyaorodhesha mwisho wa siku atachagua yeye au unaonaje?
Kamba ngumu kweli kweli.
 
Awamu hii ya sita wenye pesa wana pesa mpaka wanatambaa kama walevi waliozidiwa na pombe na maskini kwao hata kupata elfu kumi na tano kwa siku ni ngumu sana,Naongelea kwa sasa kupata chenji ya elfu kumi ni shida sana kwa maskini

Tunapoongelea ubepari wengi walikuwa hawaelewi maana yake lakini sasa wanapata picha kamili ya neno Free capitalism

Wakati vita ya Ukraine inaanza tulielezea hapa madhara ya muda mrefu wa vita lakini Kuna watu walikuja na kutupinga hapa JF kuhusu ongezeko la bei za bidhaa na shilingi kupoteza thamani

Watu waliohodhi Dola za kimarekani sasa wanaishi Maisha kama walevi ,Maisha ya kunywa na kutambaa

Kwa sisi wafanyabiashara neno dola linatuumiza vichwa sana kwani tunatumia shilingi nyingi sana kupata dola Moja ya kimarekani ili tuagize bidhaa na Mali ghafi

Ni Nani anaumia kwa sasa?
Walio na pesa wana pesa kweli na maskini kwa sasa ni maskini kweli

Ingawa pesa inazidi kuzunguka wewe kwanini pesa haikufikii awamu hii ya sita?

Baadhi ya sisi wafanyabiashara unaamua kutafuta dola unakokujua wewe lakini ukisubiri za kubadilisha na shilingi basi utaambiwa na Bank njoo kesho baada ya kesho unaambiwa tumepata kidogo sana hivyo mlipe supplier wako kiasi kidogo utamalizia
Inahuzunisha sana. Na maduka ya kutakatisha fedha yamefunguliwa tena na NAPE NAUYE Wakati yalikuwa yanefungwa.
 
Mada yako ni ipi au nini hasa, ndugu?
Maana umeongelea mengi:-

1. Matajiri (wapi au wamefanya nini?)

2. Uhaba au kuimarika kwa U$ vs TZS - shida nini hasa?

3. Mzunguko wa hela haziwafikii ( hukusema ninyi akina nani au mko wapi wala mnafanya nini?)

4. "Vita" (uvamizi) wa Russia kwa Ukraine - unataka nini kifanyike au nani afanye nini?

Ushauri: ungejikita kwenye hoja unayotaka kwa kina ili tuweze kuchangia vizuri.
Wewe itakuwa mwanafunzi aliyefeli law school of Tanzania

Kama unashindwa kuelewa paragraph zisizozidi tano za mwandishi unaweza elewa kitabu cha Prof Shivji ?

Hili Taifa lina watu mbumbu sana na sasa wanahamia hapa JF

Sasa kama yote umeyaona ulitaka mwandishi aweke Title ya maneno yote

Halafu unaambiwa hapo law school andaa charge sheet ya mtu aliyeiba na kubaka unasema tujikite kwenye kubaka tu ,

Kwa style hii hakuna mwanafunzi wa law school atakayefaulu kama umeshindwa kuelewa hii thread
 
Back
Top Bottom