Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya...
0 Reactions
8 Replies
576 Views
Nianze kupongeza Kanisa katoliki kwa utaratibu wake wa kuwaombea na kuwakumbuka marehemu wote walio tangulia mbele ya haki kwa kanisa langu Takatifu Katoliki La Mitume Ili jambo ufanyika kila...
3 Reactions
6 Replies
628 Views
Wakuu, Mwanasiasa John Mwanga (78), aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025. Mwanga, ambaye aliweka historia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya. Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na...
1 Reactions
1 Replies
396 Views
17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya...
14 Reactions
72 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati ya kuboresha maisha ya vijana kwa kutaka kuongezwa kwa uwekezaji katika ujenzi wa...
2 Reactions
5 Replies
478 Views
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba wikiendi hii alizindua kampeni mpya aliyoiita "Wiki Ya Mama" kwa ajili ya kutathmini na kuthamini juhudi za Rais Samia Mwenyekiti huyo...
1 Reactions
19 Replies
862 Views
Kalamu ya Samia inaongea waendelea kuyasema na kuyamulika yale yote aliyoyafanya Rais Samia kuanzia mjini mpaka vijijin kuwa kalam ya mama Samia imepita kila eneo. Leo March 17,2025 viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
525 Views
Vijana zaidi ya 30 wa kikundi cha Urithi Wetu PTP2 wameanza safari ya kipekee kutoka Kigoma hadi Kizimkazi, Zanzibar, kwa lengo la kuhamasisha upandaji miti na kudumisha urithi wa kipekee wa...
0 Reactions
22 Replies
893 Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea...
1 Reactions
1 Replies
350 Views
Baada ya shambulio la tarehe 15 March 2025 la ndege za Marekani dhidi ya wapiganaji wa Houthi huko Yemen, na kusababisha vifo vya watu 53, na mamia kujeruhiwa, tarehe 11 March, wapiganaji wa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika muktadha wa utawala wa ndani, kuna masuala kadhaa yanayoibuka hususan kuhusu uundaji wa maeneo ya kiutawala kwa idara kama Tanesco na Jeshi la Polisi. Katika mikoa ya kipolisi, kuna...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Tangu ameshika madaraka Mh.Rais J.P.Magufuli anefanikiwa sana kudhibiti mauaji na hujuma dhidi ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yaani Albino. Kwa hili tunatakiwa kumpongeza sana.
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Niliwahi kusema huwezi kutenganisha uhalifu wanaofanyiwa wafuasi wa vyama vya upinzani na mkono wa wafuasi wa CCM. Mauaji ya kamanda Mawazo, Diwani wetu wa USA River Mhe.Msafiri Mbwambo) aliyeuawa...
1 Reactions
57 Replies
7K Views
Tanzania itaendelea kuunga mkono jitihada za kikanda na kimataifa zinazoendelea katika kutafuta amani ya kudumu katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Hayo...
1 Reactions
1 Replies
337 Views
Updates Washtakiwa wanne kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo wamehukumiwa adhabu ya kifo baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya...
10 Reactions
63 Replies
14K Views
Igweee nimekaa na kuwaza sana nakusoma comment za waja nyingi sana ila jambo nimekuja kugunduwa JK ana akili sana tena sio wakumchukua poa. JK ni mwanajeshi mstaafu nje ya Urais na anakumbuka...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kuuliza swali moja. Kelele tulizipiga sana kuwa Magufuli hayati ni dikteta na hakuwa anafuata sheria. Je, CCM ya sasa na ile ya hayati ina tofauti gani? Naomba tusitoe mapovu bali...
3 Reactions
10 Replies
698 Views
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi. Niko na...
11 Reactions
189 Replies
20K Views
Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama...
0 Reactions
3 Replies
330 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…