Rasmi leo mwanamuziki wa hip hop ndugu, Webiro Wasira alimaarufu Kwa jina la Wakazi achukua fomu yakuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika Uchaguzi Mkuu...
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Bavicha ambaye alihamia CCM, Getrude Ndibalema amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
===
Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa...
Dkt. Godfrey Simbeye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mbozi katika ofisi za CCM Mbozi na amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa CCM Wilaya Julius Mbwiga.
Kwanza nawaomba radhi wana JF kwa kuchelewa kuleta tathmini kuhusu mikoa tajwa hapo juu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Nilipatwa na dharura ya kimaisha iliyonifanya nirudi...
MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, baada ya kueleza kuwa anayo nia ya kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama chake, amepata kigugumizi kulijibu swali la kwamba hivyo...
John Mrema ni mtu mwenye Cheo sawa na cha Humphrey Polepole wa CCM yaani ni mwenezi wa Chama Taifa.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimsema humu JF kuwa yeye ndie amekuwa akiivuruga CHADEMA kwa fitina...
Kwa mtazama wangu, matokeo ya kura za maoni ya watia nia wa CHADEMA, yanadhihirisha jambo moja kubwa: Wabunge waliokataa kuuza utu wao, wameaminika sana kwa wananchi na hivyo wana nafasi kubwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kutangaza hivi karibuni mabadiliko ya majina kwa baadhi ya majimbo, huku akisema kuwa inatarajia kutoa ajira kwa watu 390,824 watakaoshiriki usimamizi...
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.
Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua...
Wakuu amani iwe kwenu!
Bila kupoteza muda napenda kuzungumzia list ya wagombea 65 wanaodaiwa kutia nia kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Rorya. Hii list mara ya kwanza niliipata ikitokea kwa...
Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea .
Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia .
Mungu...
Kama kuna Nchi ambayo dunia nzima Siasa zake si tu kwamba ni tamu kuzisikia na kuzitizama bali pia ni ' Komedi ' tosha kutokana na 'Vituko' vyake basi ni za nchini Tanzania. Katika hali isiyokuwa...
Wakuu kama mnavyojua kuwa watia nia wengi majimboni wamekuwa wakikumbana na rungu la Takukuru kwa tuhuma za kutoa rushwa ili kuweka mazingira ya kupitishwa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi...
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Basil Lema.
" Jimbo la Hai linatizamwa na limekuwa likizungumzwa sana, hivyo Mbowe ndie atakaesimama tena na ameshachukua fomu"...
Wakati tunasubiri kipenga kuanza uchaguzi mkuu, tuliojsliwa kusoma alama za nyakati tunakumbuka Tambo hizi:
1. Sikuchaguliwa ili niongeze mishahara (Rais JPM)
2. Sikuleta tetemeko la ardhi na kwa...
Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.
Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.