Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kugombea tena jimbo la Hai

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
18,512
68,139
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Basil Lema.

" Jimbo la Hai linatizamwa na limekuwa likizungumzwa sana, hivyo Mbowe ndie atakaesimama tena na ameshachukua fomu".

pic+mbowe.jpg

NOTE.

Wale wote mliokuwa na pressure ya Mbowe kuitaka nafasi ya kugombea Urais mtulize roho zenu sasa, kwani hakuwa na nia hiyo zaidi ya kuingia ndani ya mchakato kisayansi ili asawazishe mambo.

Pia, habari nyingine ni kwamba, mtoto wa Mbowe, Ndugu James Mbowe nae amejitokeza kuchukua fomu kugombea jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chadema.
 
Mbowe amejipima ameona maji ni marefu.

Heko kwa mwanawe kuomba ubunge wa Moshi mjini,tanampa mliokuwa mnakebehi Hussein Mwinyi mje kumkebehi Mbowe.
 
Mbowe amefanya uamuzi muafaka kabisa tunampongeza na sasa tuwe na Lissu bega kwa bega wana CDM. Peopleeeeeeeees!....
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Basil Lema.

" Jimbo la Hai linatizamwa na limekuwa likizungumzwa sana, hivyo Mbowe ndie atakaesimama tena na ameshachukua fomu".

NOTE.

Wale wote mliokuwa na pressure ya Mbowe kuitaka nafasi ya kugombea Urais mtulize roho zenu sasa, kwani hakuwa na nia hiyo zaidi ya kuingia ndani ya mchakato kisayansi ili asawazishe mambo.

Pia, habari nyingine ni kwamba, mtoto wa Mbowe, Ndugu James Mbowe nae amejitokeza kuchukua fomu kugombea jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chadema.
Mbowe amejipima ameona maji ni marefu.

Heko kwa mwanawe kuomba ubunge wa Moshi mjini,tanampa mliokuwa mnakebehi Hussein Mwinyi mje kumkebehi Mbowe.
Huyu kafeli angle zote
 
Safi Hai haiwezi kuongozwa na CCM iliyokufa
 
Mbowe amejipima ameona maji ni marefu.

Heko kwa mwanawe kuomba ubunge wa Moshi mjini,tanampa mliokuwa mnakebehi Hussein Mwinyi mje kumkebehi Mbowe.
Mkoa wa kilimanjaro wanagawana baba na mtoto kwa wakati mmoja .CHADEMA WAMEIFANYA MALI YAO MUDA MREFU Sasa wameugeuza kilimanjaro mali yao 2020 hii !!!!

Mtoto wa mwinyi kaja muda mrefu toka baba yake ashike.Hawa wameona Kilimanjaro yao ni wakati wa kugawana muda huu huu wakati wao sio watoto wa machifu au ma mangi wa kilimanjaro wala nini
 
Kwani Kilimanjaro ina majimbo mangapi dada? halafu huyo mtoto ndio kwanza amechukua fomu, na hata akipitishwa wananchi wa Moshi Mjini ndio wenye maamuzi ya wanaemtaka, sio nyie kuwaamulia wazanzibari mnaemtaka mkiwa Dodoma, naamini umeiona tofauti hapo.
 
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Basil Lema.

" Jimbo la Hai linatizamwa na limekuwa likizungumzwa sana, hivyo Mbowe ndie atakaesimama tena na ameshachukua fomu".

NOTE.

Wale wote mliokuwa na pressure ya Mbowe kuitaka nafasi ya kugombea Urais mtulize roho zenu sasa, kwani hakuwa na nia hiyo zaidi ya kuingia ndani ya mchakato kisayansi ili asawazishe mambo.

Pia, habari nyingine ni kwamba, mtoto wa Mbowe, Ndugu James Mbowe nae amejitokeza kuchukua fomu kugombea jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chadema.
Huyu mtoto wa Mbowe ndiye yule aliyedondoka kwenye Club moja jijini Dar sababu ya Faru John au??
 
Kwani Kilimanjaro ina majimbo mangapi dada? halafu huyo mtoto ndio kwanza amechukua fomu, na hata akipitishwa wananchi wa Moshi Mjini ndio wenye maamuzi ya wanaemtaka, sio nyie kuwaamulia wazanzibari mnaemtaka mkiwa Dodoma, naamini umeiona tofauti hapo.
Mbowe na mwanawe wanaishi Dar es salaam ndiko makazi yao yalipo wanaenda kuwaamulia watu wa Moshi mjini na Hai wawachague wao wakazi wa dar es salaam kuwa wabunge wao!!! kwani Moshi mjini na Hai hakuna permanent residents wanaoishi kule muda wote hadi wa import wagombea Mbowe na Mwanawe toka Dar es salaam washike ubunge?
 
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Basil Lema.

" Jimbo la Hai linatizamwa na limekuwa likizungumzwa sana, hivyo Mbowe ndie atakaesimama tena na ameshachukua fomu".

NOTE.

Wale wote mliokuwa na pressure ya Mbowe kuitaka nafasi ya kugombea Urais mtulize roho zenu sasa, kwani hakuwa na nia hiyo zaidi ya kuingia ndani ya mchakato kisayansi ili asawazishe mambo.

Pia, habari nyingine ni kwamba, mtoto wa Mbowe, Ndugu James Mbowe nae amejitokeza kuchukua fomu kugombea jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chadema.
Chama cha Demokrasia anasimama katibu tu tena wa jimbo anejichagulia mgombea afu nawe unajigamba kwenye mtandao?

Demokrasia iko wapi sasa hapo?
 
Mbowe na mwanawe wanaishi Dar es salaam ndiko makazi yao yalipo wanaenda kuwaamulia watu wa moshi mjini na hai wawachague wao wakazi wa dar es salaam kuwa wabunge wao!!! kwani Moshi mjini na Hai hakuna permanent residents wanaoishi kule muda wote hadi wa import wagombea Mbowe na Mwanawe toka Dar es salaam washike ubunge?
KWANI NYIE MLIPOWACHAGULIA WAZANZIBAR MGOMBEA URAISI ANAYEISHI DAR KULE DODOMA, KULE ZANZIBAR HAKUKUA NA MTU MWINGINE MWENYE UWEZO WA KUWAONGOZA?
 
Mbowe na mwanawe wanaishi Dar es salaam ndiko makazi yao yalipo wanaenda kuwaamulia watu wa moshi mjini na hai wawachague wao wakazi wa dar es salaam kuwa wabunge wao!!! kwani Moshi mjini na Hai hakuna permanent residents wanaoishi kule muda wote hadi wa import wagombea Mbowe na Mwanawe toka Dar es salaam washike ubunge?

Kwani Hussein Mwinyi anaishi Zanzibar?
 
Back
Top Bottom