Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa BAVICHA na kuhamia CCM, Getrude Ndibalema achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Mbagala

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Bavicha ambaye alihamia CCM, Getrude Ndibalema amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi.

Getrude.jpg
 
Back
Top Bottom