Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ya kikazi ya siku tatu.
Wasira amepokelewa mkoani humo leo Machi 26, 2025 akiwa...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne...
Ikiwa leo ni siku ya pili tangu ilipotolewa taarifa kuwa msanii Roma Mkatoliki alitekwa na watu wasiojulikana akiwa pamoja na Moni Centrozone, mtayarishaji wa muziki wa Tongwe Records, Bin Laden...
Habarini wadau!
Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea.
Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kitunda, Kivule Msongola na Majohe njia 4 ambayo toka makataba wa ujenzi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa...
Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi.
Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie...
Wakuu,
Baada ya katibu wa CCM uenezi,itikadi na mafunzo kutangazia Dunia kuwa,kuna virus vya Ebola na M pox vitanunuliwa na CHADEMA kupitia makusanyo ya pesa za TONE TONE,vitasambazwa nchini ili...
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya...
Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo...
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) wameingiwa wasiwasi mara baada ya kupokea taarifa ya maboresho ya ujenzi wa mradi wa bandari ya Mwanza ambao umefikia...
Vikundi 8,275 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri vimepatiwa mikopo yenye thamani ya Sh. bilioni 82.84 kwa mwaka wa fedha...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vigezo ili kukipandisha hadhi kituo cha Afya cha Mama Ngoma...
Historians wanalijua hili.
The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU.
Kwa ukanda...
Katika ulimwengu wa leo, wanawake wanakabiliwa na changamoto nyingi, hasa katika mazingira ya kazi. Hali hii inajitokeza wazi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani Magufuli, kilichopo Mbezi...