Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) wameingiwa wasiwasi mara baada ya kupokea taarifa ya maboresho ya ujenzi wa mradi wa bandari ya Mwanza ambao umefikia...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Vikundi 8,275 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri vimepatiwa mikopo yenye thamani ya Sh. bilioni 82.84 kwa mwaka wa fedha...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini
1 Reactions
5 Replies
585 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vigezo ili kukipandisha hadhi kituo cha Afya cha Mama Ngoma...
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa leo, wanawake wanakabiliwa na changamoto nyingi, hasa katika mazingira ya kazi. Hali hii inajitokeza wazi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani Magufuli, kilichopo Mbezi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, ili kujizuia na fitina na ulozi Usithubutu kutangaza kuwa unagombea ubunge , kuna jamaa yangu wameshamtoa mchezoni huko CCM.
1 Reactions
1 Replies
362 Views
Mwl. Nyerere aliweka dira pevu kwa kutenganisha majukumu ya viongozi watunga sera na watekeleza sera. Leo hii, watekeleza sera ndio viongozi na watunga sera ndo watekelezaji!!!. Unamchukua form...
0 Reactions
7 Replies
411 Views
Habari za Leo Wanajukwaa Wenzangu. Nimewiwa kuleta kwenu Mada hii baada ya kufwatilia kwa kina Mwitikio wa Wananchi katika Kudai Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi. Katika Ufwatiliaji Wangu...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial...
2 Reactions
4 Replies
524 Views
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima...
10 Reactions
73 Replies
4K Views
ALIYEKUWA Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, David Jairo anadaiwa kupora na kujimilikisha ardhi kinyemela. Jairo ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4" Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku...
10 Reactions
107 Replies
4K Views
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi) Posho kujikimu — Sh250,000 (siku) Posho kitako — Sh220,000 (siku) Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs) Mkopo...
28 Reactions
70 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
CCM walikuja na kauli mbiu yao "Zima zote washa kijani" wakimaabisha wafute ushawishi Wa vyama vyote wabakie wao CCM. Lakini Kwa Sasa tangu CHADEMA ianze harakati zake za "No reforms No Election"...
6 Reactions
9 Replies
557 Views
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemshukuru Mbunge wao, January Makamba, kwa juhudi zake za kutatua kero mbalimbali zinazowakabili, huku wakieleza kwamba watamchagua tena wakati wa...
0 Reactions
4 Replies
421 Views
Utangulizi Uongozi unachukua nafasi muhimu katika maendeleo ya taifa. Nchini Tanzania, changamoto kama ufisadi, utawala dhaifu, na maamuzi mabaya vimezuia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya...
3 Reactions
5 Replies
567 Views
Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush. no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi...
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…