Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza akiwa katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam ambapo amesema mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
“Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Anachotendewa mheshimiwa Lissu ni ushahidi wa wazi kuwa CCM uwezo wake mdogo sana kisiasa, na bila mabavu ya polisi hawewezi kudumu kisiasa hata kwa mwaka mmoja!. Wamepigwa operesheni moja tu ya...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu...
29 Reactions
70 Replies
5K Views
Akiwa Bungeni leo Aprili 10, 2025, Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani, amehoji hatua ya Serikali kumkamata mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka itoe maelezo ya kina...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Mvutano umeibuka baina ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma baada ya jeshi hilo kuzuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika...
3 Reactions
2 Replies
596 Views
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Bwana Isihaka Mchinjita ameshangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoitoa bungeni kuwa hali ya demokrasia nchini imeimarika. Akizungumza na...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kile ilichokiita kukamatwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Tundu Lissu, kikieleza kuwa hatua hiyo ni matumizi makubwa ya nguvu na inalenga...
4 Reactions
8 Replies
711 Views
Lissu amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa Mbinga leo akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi, wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa...
9 Reactions
77 Replies
4K Views
Ni mewaza na kuwazua nini kina tu tafuta Africa Mashariki.? Je ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora? Viongozi waupinzani Tanzania Uganda na Susan wote wako kwenye mikono ya polisi. Je...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Amani ya Bwana iwe nanyi Baba zetu wa kiroho! Tumsifu Yesu Kristo! Wote mmeona yaliyotokea leo Mbinga. Askari wenye silaha na mabomu wameenda kumkamata Tundu Antipass Lissu, mtu asiye na silaha...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Hakuna mahali duniani chama au mtu ameweza kutawala bila kufika mwisho wengine waliuwa na kuchinja mkoa mzima bado hawakuweza kutawala milele. Tuna kipenda chama cha ccm tangu wa zee wetu na baba...
4 Reactions
8 Replies
608 Views
Hongereni sana CCM kwa kufanya ziara ya kwenda mkoa wa Lindi kupangua hoja zote za kitoto zilizotolewa na Tundu Lissu katika wilaya ya Ruangwa, Nachingwea, Mtama, Kilwa. Kule Nachingwea Bw.Lissu...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro. Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Na Askofu Bagonza RAIS SAMIA HALAZIMIKI KUFUATA NJIA YA JPM KUHUSU CHAGUZI ZETU: Ndiyo. Rais Samia anatoka chama kile kile alichoongoza hayati JPM. Ndiyo. Rais Samia alikuwa Makamu wa JPM...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam,Shalom. Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU. Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Salaam, shalom, Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya jana kukamatwa kwa Mwenyekiti wa NETO, leo zimeibuka taarifa kwamba Katibu wa Jumuiua hiyo amekamtwa na Jeshi La Polisi. Kupitia mtandao wa X, NETO waliandika kwamba: Katibu...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Embu Someni Habari hii muongeze Ufahamu kidogo. 👉Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…