Ninafuatilia hotuba za John Heche, ni kama alikaa mahali akajifungia, akaanza kukariri/kumeza hoja zake.
Kila mahali maneno Yale Yale.... Mifano ile ile. Kwa kiongozi inamjengea hali ya kuchosha...
Chadema wanapitishia fedha zao katika Mpesa, airtel money, na huduma za aina hiyo, pamoja na za mabenki.
Nitoe angalizo kwa serikali na makampuni hayo kwamba miamala hiyo imeshasemwa na uongozi...
Wakati Tonetone ya kidijitali ikizidi kuchanja Mbuga ,,, ni vema Matangazo ya Chama kuwaalika Watanzania mikutanoni yaendelee kuwakumbusha kubeba "Chochote Kwa ajili ya Chama".
Pesa za Kwa...
Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿
Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi...
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na...
Naam.
Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha.
===
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55...
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya...
Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi.
Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu...
Watu ambao mpo karibu na Prof Jay jaribu kumuongoza Vyema huyu Kijana .
Maana watu hasa wapinzani walijitoa Sana kwako.
Unaposema utaingia katika uchaguzi bila reform je umetazama mbele na...
Ni kweli No Reform No Election inatakiwa kutekelezwa na Mamlaka LAKINI siyo kwa mwaka huu wa Uchaguzi.
CHADEMA ijipange baada ya uchaguzi wa mwaka huu kwa No Reform No Election mpaka mabadiliko...
Wakuu,
"Serikali na Bunge wamepaka rangi sheria ya uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi na ndio maana sisi tunaunga mkono No reforms ili kuwe na chaguzi...
Huu Sasa Ndio Uislam, sio ule Uhuni wa Kutangaza Amani Amani huku HAKI imefichwa.
Ni sawa tule twanafunzi, Kila kukicha "Mama asamewe" alafu tunashindwa hata kukaa na kujadili Report ya CAG...
Alipinga hadharani tena kwa msisitizo sana kila kitu kilichoamuliwa na ungozi wa kabla yake, na akawafundisha wanachadema wengi tabia hiyo mbaya aliyoiita haki na uhuru.
Tena ilifikia mahali...
Wakuu heshima sana na huu mjadala ni very educative, kuna mengi sana hapa yamesemwa ambayo ni valid na hayakwepeki, ni muhimu sana hii debate ikapanuliwa katika sekta nyingi za serikali yetu...
Nazani kutokana na histori ya chaguzi zetu za huko nyumu,uamuzi unao mwenyewe,
Tumeona uchaguzi wa 2020 Chadema wakipata Mbunge mmoja tu, Tanzania nzima,tumeona uchaguzi wa serikali za...
MASWALI NA HOJA ZA WADAU KUHUSU SUALA LA VITI MAALUMU TANZANIA
Wakuu leo katika kupitia maandishi ya gazeti la mwananchi nimekutana na kichwa cha habari kisemacho Wabunge wa viti maalum ni feki...
Wanabodi,
Leo nimepata fursa kuangalia sherehe za maadhimisho wa siku ya sheria zilizokuwa zikitangazwa live na TBC. Chama cha wanasheria ni mdau muhimu wa maadhimisho haya ambayo huhutubiwa na...
Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa!
Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa...
Natazama hapa Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, ati kujenga viwanda vya madawa.
Kwanza, Kuna kiwanda cha madawa ya kukuua vidudu vya mbu Kibaha. Kiwanda hiki kimejengwa kwa...
Na Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
CHADEMA/UPINZANI, ACHENI KUIONEA CCM.
1. Taifa hili bila CCM imara, litayumba sana. Sina hakika kama bado.
2. Ili CCM iwe imara inahitaji...