Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.
Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali...
Hii nchi kama Kuna Viongozi wasioyumba kikauli basi ni Mzee Kinana wa CCM na Shehe Ponda wa BAKWATA
Na Kiongozi pekee wa siasa asiyeishi na nongwa moyoni mwake ni Freeman Mbowe mnyasa wa...
Great Thinkers,
Naomba tulitazame suala hili kwa umakini.
Jumamosi iliyopita, Mbunge Zitto Kabwe alitoa taarifa kwamba amepata taarifa juu ya kuwepo operesheni maalum ya kutaka...
Nimeshindwa niweke wapi hii comment, JF mnaweza unganisha na uzi wowote.
Tukio la Janeth Magufuli kulazwa Muhimbili Novemba 2016 linapaswa kufafanuliwa kwa muktadha wa ukweli na uwazi. Huwa...
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda...
Haina haja ya kutafuta Mchawi Mh Freeman Mbowe abakie kama mshauri wa Chama ameshachoka
Freeman tuletee Wakili Msomi Nicole tuhangaike naye Siasani Wewe sasa ni Babu 😂😂😂🔥
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa...
Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri.
Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo...
Amesikika Mbowe na kujifagilia kwingi huku akimnanga Lissu.
Kwamba alichokisema kuhusu kung'atuka bila shaka, kimsingi yeye na M7 ni baba mmoja, mama mmoja:
Kwamba kasema yeye ndiye kamfikisha...
Kama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani.
Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama...
Nimeona niliseme hili sababu nadhani wanasiasa wa sasa wanatumia hii mbinu; Wanakuja na Vitu vya ajabu ambavyo wanajua watu watakataa au kupiga kelele alafu wanaviondoa vile vitu kuonyesha kwamba...
Hongera sana Engineer Fatma Kara, Samia Foundation na Team ya Quality Builders kwa mwanzo mzuri sana. Naamini hakuna mwengine atakayeweza kutafsiri Ndoto na Maono ya Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan...
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?
Au mnangoja yapande ndio mlaumu?
Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka...
Kama unabisha endelea kubisha lakini juzi Kuhani Mussa kapokea Mchango wa Rais na kutoa baraka zake za kikuhani
CCM inatumia misingi ile ile iliyowekwa na Shujaa Magufuli na kwa Bahati nzuri this...
Sio kwamba navidharau hivi vyama vingine ila wasipojitathimini, wakaamua kujiunga na moja wapo wa hivyo vyama viwili vikubwa.
Tanzania kwa sasa, wataishia kuzunguka hapo hapo mambo yajayo...
'Je ni kwa nini mpaka sasa zaidi ya miaka 20 ya Vyama vingi.
Chama kikuu ya Upinzani CHADEMA Hakijakubalika Upanda wa Tanzania Visiwani-Zanzibar....?
Hata huku bara kwenyewe kimekubalika kwenye...
Kwanini Kinana alirudisha majeshi CCM, kujiuzulu?
Na Luqman Maloto
Julai 29, 2024, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Abdulrahman Kinana...
Naomba nianze kwa kushukuru Mungu kwa kuzaliwa kwa mkurugenzi wa Jamii forum hakika kwa life span yangu Sasa ni miaka zaidi ya 39 ya kuzaliwa Nina karibia robo ya maisha yangu nimekuwa member wa...