Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbeto : INEC , ZEC Tume huru za Uchaguzi zenye uwazi na haki Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka Upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi , INEC na ZEC na kudai si...
0 Reactions
3 Replies
555 Views
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote...
29 Reactions
97 Replies
5K Views
Hello! Najaribu kutumia vizuri ubongo wangu, napata utata kidogo juu ya yafuatayo? 1. Hii ni awamu ya 5 au awamu ya 6 au ni awamu ya 5 second half? 2. Ikiwa hii ni awamu ya 5 second half, ni...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kuchagua mgombea wa kiti cha Urais wa JMT Mchakato wa kumpata mgombea u - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya CCM unafuata utaratibu...
5 Reactions
13 Replies
964 Views
Kabla Hatujaanza Kudiscus, msikilize Mzee kikwete akisifia uchaguzi wa kenya jinsi ulivyo na Uwazi, kiasi kwamba katika chumba cha kupigia simu wakala anaruhusiwa kuingia na simu na kupiga picha...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
19 Reactions
167 Replies
8K Views
Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Awali April 10, 2025 walitangaza mchakato huo ungeanza Mei Mosi mpaka Mei 15 ambako ingechukua siku 15 kwa wagombea kuchukua na kurudisha fomu lakini sasa itakuwa ni siku 15 pekee ambako...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania...
19 Reactions
348 Replies
21K Views
ANITA BUNONO NI NANI, Ni mjasiriamali mbobezi katika biashara ndogondogo kwa muda mrefu hapa mkoani Kagera, Msomi aliyebobea katika sekta ya ugavi na mnunuzi kutoka chuo cha CBE cha jiji Dar es...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe. Nimeona umechukua hatua kwa...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Bara Mzee Stephen Wassira amemuonya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed Seif kuacha kubeba wagombea wa nafasi za Ubunge wasiokubalika na wananchi kwani...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha. Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania Umewakosea Sana Watanzania...
128 Reactions
368 Replies
17K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitakuwa na utaratibu wa kuwakata wagombea bali kitateua wale wanaofaa kwa mujibu wa vigezo na taratibu za chama...
2 Reactions
3 Replies
433 Views
Asalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa. Hali ni mbaya ni mbaya...
16 Reactions
49 Replies
4K Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa...
11 Reactions
117 Replies
7K Views
Wanabodi, Kwanza anza na hii video https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1 angalieni nchi za wenzetu,linganisha na hapa kwetu!。 Mwangalie Dr Tulia wa IPU na umlinganishe na Dr Tulia wa...
20 Reactions
138 Replies
5K Views
Back
Top Bottom