Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ilikuwepo Manchester united Ilikuwepo Barcelona Ilikuwepo Brazil Hizi ktk soka zikivuma lkn hivi sasa hazivumi tena. Kisiasa Huu ndio wakati wa Lissu kufifia kabisa ktk siasa. Baada yauchaguzi...
3 Reactions
6 Replies
301 Views
Hiyo combination ni sahihi? Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei. Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Kati ya maagizo ambayo 'Prfesa Ndumila Kuwili' a.k.a KIBWETELE, alipewa ni kuhakikisha 'anaking'oa' meno MADECHA au anainywesha kinywaji kitakachoikata sauti. Katika kuhakikisha hilo linatimia...
9 Reactions
10 Replies
952 Views
Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu. Huyu amekuwa...
46 Reactions
218 Replies
24K Views
Chama cha ACT-Wazalendo kimefungua mashauri ya uchaguzi 51 ya kupinga matokeo na mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024 na kusimamiwa na Ofisi...
0 Reactions
2 Replies
497 Views
Nimesikiliza Hotuba ya Heche leo akitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA, nimegundua kisiasa Heche ni Mkubwa sana kuliko Lissu ingawa kiharakati Lissu kamuacha mbali sana Heche. Heche...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Muda mrefu sijasikia kuhusu mapigano yanayowahusu M23. Je, majeshi ya SADC yametuliza mambo?
1 Reactions
2 Replies
317 Views
Mpaka sasa Halima Mdee wa CHADEMA amepoteza Jimbo lake la Kawe baada ya Askofu Josephat Gwajima wa CCM kumshinda kwa Kura 194,833 huku yeye akiwa naKura 32,524 Nini maoni yako? Mwandishi wako...
11 Reactions
170 Replies
18K Views
Mimi namtazama Tundu Antipas Lissu kama spirit Fulani ya Uamsho Ni vema wanaccm huko majimboni mkatafuta akina Tundu Lisu wa Mchongo wawasaidie kuwang'oa akina Jah people nk Navalonge swela 🐼...
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Uamuzi wa Heche wa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kukisaidia sana chama chake kwa sababu zifuatazo: 1. Hotuba yake imeonekana level heade. Kuingia kwa Heche katika...
1 Reactions
3 Replies
524 Views
Si vibaya, mwanzo mwanzoni, kuweka wazi kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania. Lakini, ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za dunia nzima, nikianza na za kwetu...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Watu wenye akili utawatambua tu namna walivyo serious kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi. Humu kugonga meza hovyo hovyo kama wendawazimu walio changanyikiwa huwezi kuta hawa watu wanafanya...
29 Reactions
53 Replies
2K Views
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe...
12 Reactions
183 Replies
10K Views
Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono?? Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono. Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Hizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lissu Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, 1. Festo Sanga - MBUNGE WA MAKETE Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Elimu: Shule ya Msingi ya Bulongwa (1996-2002, CPEE) Shule ya Sekondari ya Mwakavuta (2003-2006, CSEE) Shule ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi. Kuna daraja liko...
1 Reactions
0 Replies
507 Views
Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli...
45 Reactions
236 Replies
27K Views
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe. Paul...
30 Reactions
95 Replies
5K Views
John Heche akiongea na Waandishi wa habari leo Januari 05, 2024 amesema Tundu Lissu anayewania nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA hajakivua nguo chama hicho bali anawataja wala rushwa walio...
15 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…