Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na...
25 Reactions
312 Replies
10K Views
Naomba kuanza na Msingi wa kisheria ( Legal principle) ya “Waiver of right principle” Waiving a right means that such a right cannot be claimed by that individual. Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi ni...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Tulishasema humu kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, Hii Neema ya kupinga Mauaji na Utekaji unaotokana na Uchaguzi itafika kila mahali Nchi Nzima. Leo Wananchi wa Kyela wamepata Bahati hiyo...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Nembo Asilia ya Taifa lililoasisiwa mwaka 1961 na Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere, maarufu kama "Nembo ya Bibi na Bwana" Nembo Mpya ya Taifa linaloongozwa na Rais Samia tangu 17 Machi...
3 Reactions
4 Replies
612 Views
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki...
10 Reactions
198 Replies
8K Views
Ukweli ni kwamba tunahitaji mabadiliko ya kanuni na sheria za uchaguzi. Hatuwezi kuwa conservative. Kwanini hawa jamaa hawataki mabadiliko? Hivi kweli unaweza ukawa na mfumo kama huu ukasema una...
5 Reactions
6 Replies
353 Views
Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Evaline Munisi amesema asilimia 98 ya maoni na mapendekezo yaliyotolewa na Chama hicho yamechukuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakati wa kutunga Kanuni...
2 Reactions
11 Replies
748 Views
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla, amesema kuwa kauli ya “No Reforms, No Election” ni dhana ya...
1 Reactions
3 Replies
344 Views
https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg ➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...! ➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha...
14 Reactions
24 Replies
2K Views
Jimbo la ukonga ambalo mbunge wake ni mh jerry slaa lina miundombinu ya barabara ambayo ni mibovu labda kuliko majimbo yote ya Dar es Salaam. Barabara ya banana- kitunda mashimo matupu. Barabara...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,... Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote...
13 Reactions
156 Replies
9K Views
1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson! 2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi sana yanayoshangaza sana duniani lakini la kwanza ni siasa ya Tanzania, sijajua kama ni Tanzania au Afrika kwasababu ni siasa ambayo ukisimamia sheria hutaeleweka lakini pia...
0 Reactions
5 Replies
357 Views
Raisi Samia mwaka 2021-2022 alikuwa na nguvu na aliteka Tanzania alikuwa ana alikwa kwenye mataifa makubwa sana lakini kuanzia 2023 Raisi Samia amekuwa dhaifu na kuonekana ni Raisi wa kuendeshwa...
2 Reactions
7 Replies
538 Views
Jamani naomba kuuliza mimi sijaelewa. Chadema wametolewa kwenye mchakato wa uchaguzi au wameondolewa? Lipi sahihi kusema wa meondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi. Au kusema wamejiondoa...
1 Reactions
4 Replies
556 Views
Diwani viti maalumu Kutoka Wilaya ya Mpwapwa Mariam Makasi Amesema Kuelekea uchaguzi Mkuu Kwa aliofanya Rais Samia katika Nchi imetengeneza njia nzuri ya kuwafanya wao kutohangaika kutafuta kura...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria...
16 Reactions
61 Replies
4K Views
CHADEMA inatimiza miaka 33 mwaka huu toka kuanzishwa kilianzishwa 1992 Jua siri ya namba 33 na uhusiano na kifo cha CHADEMA Katika ulimwengu wa Freemason kiwango cha juu cha cheo cha...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Kumbukumbu ya miaka 103 ya Mwalimu Julius Nyerere https://m.youtube.com/watch?v=OAQFxrJBfPc Makamu wa Rais Dk. Philiph Mpango ameyaongea haya katika kumbukumbu ya miaka 103 ya Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
4 Replies
517 Views
Barabara ya Mlimba–Ifakara imekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi, ambapo inadaiwa imekuwa kama sehemu ya kupatia Kura kila ifikapo Uchaguzi. Kwa mujibu wa mtumiaji huyu wa X "Barabara Mlimba...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…