Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Joketi Mwegelo amepokea baadhi ya Vijana kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwenye Uzinduzi wa #samiafirsttimevoters...
3 Reactions
10 Replies
549 Views
๐Ÿ‘‰๐Ÿพ๐Ÿ‘‰๐ŸพBEACH PLOT โ›ฑ๏ธ FOR SALE ๐Ÿ‘‰๐ŸพA Bigger and Wonderful Beach Plot for sale at Kizimkazi Beach Zanzibar.* ๐Ÿ‘‰๐ŸพNice sea view and Beach. ๐Ÿ‘‰๐ŸพThe Home of the Dolphins in Zanzibar. Sun ๐ŸŒž๐ŸŒž Set Beach...
1 Reactions
1 Replies
328 Views
Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Afya ya siasa za upinzani Tanzania, Kenya na Uganda uko mubashara Citizen Tanzania inawakilishwa nTito Magoti
1 Reactions
10 Replies
719 Views
IJP Camillus Mongoso Wambura ni Mkuu wa Jeshi la polisi, Jeshi ambalo uwepo wake ni kuhakikisha kuwa raia wanakuwa salama muda wote. Lakini Jeshi la polisi ( si tu wakati yeye akiwa IJP)...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo...
4 Reactions
55 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Zanzibar Hamad Mkadam amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu ya afya kwenye moja ya hospitali kisiwani Pemba...
0 Reactions
3 Replies
726 Views
Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! ๐Ÿฃ๐Ÿ™
2 Reactions
3 Replies
330 Views
https://www.instagram.com/p/DIno9CuqUmN/?igsh=MXVzb3Y3aG11c3praw==
2 Reactions
24 Replies
884 Views
Wakuu Habari! Heri ya siku kuu ya Pasaka Kwa Wakristo wote. Nitumie pia nafasi hii kuwatakia Kila la Heri watani zangu wa jadi Simba sc Kwenye Mechi Yao ya mkondo wa kwanza nusu fainali SHIRIKISHO...
0 Reactions
3 Replies
438 Views
Rais Dk. John Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wakati akitoka kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa marehemu Tryphosa Simon Sanga ambaye ni Dada wa Mbunge wa...
15 Reactions
152 Replies
31K Views
Nimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo. Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali...
5 Reactions
17 Replies
937 Views
Kama unabisha fanya utafiti natagundua hili Kwa mfano Swiss wana Haki na Amani Lakini Marekani wana Amani bila Haki Nawakumbusha tu wale wanaodhani No Reforms No Election itawaletea Haki na...
2 Reactions
3 Replies
212 Views
Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu, Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki. ===== Mtafiti wa...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Kuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini, Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya...
8 Reactions
17 Replies
817 Views
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo. Kafulila anaongea sana kuhusu...
16 Reactions
35 Replies
1K Views
Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma! Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Makamu Mwenyeliti wa CHADEMAB(Bara), John Heche amesema kuwa amekutana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu katika Gereza la Ukonga anakoshikiliwa na kiongozi huyo amewataka wanachana wa...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ