Master Stambuli ametoa neno kwa wanasiasa wanaohama vyama vyao na kukimbilia vyama vingine katika dakika hizi za lala salama.
Amesema kama wanataka kwenda kupata nafasi ya kugombea huko...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo...
Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza.
Mbunge...
https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb
➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini..
➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo...
Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge...
Naona baada ya Lissu kuwekwa jela/rumande, wabaya wa chadema wamepata sauti/wanaota mabawa.
Covid sasa wanajitokeza wazi wazi kupinga maamuzi ya CHADEMA.
Wamepata nguvu na akina Ntobi nao naona...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Awards’ ambazo zinalengo la...
Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.
Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake...
Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi.
Wanasahau pasipo...
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba, amesema kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ataendelea kuwa hivyo hadi atakapotoa taarifa rasmi ya kuondoka. Kauli...
Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini.
Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na...
Popote pale Duniani, uchaguzi ni issue nyeti sana. Lakini kwa Nchi yetu kwa sasa ni kama tumepuuza unyeti wake. Hali hii ikiachwa iendelee hivi, tunakwenda kuliangamiza Taifa hili.
Kitendo cha...
Wananchi wa Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokoni 1 mkoani Arusha wamelalamikia ubovu wa kivuko eneo la Darajani.
Wameeleza hayo leo Aprili 15, 2025 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul...
Wana uhakika wa amani ya kutosha kimwili na kiroho, wanakua ni wenye furaha, ana matumaini na uhakika wa kesho yao na siku zijazo.
Wana uhakika wa kutimiza ndoto zao za maisha bila wasiwasi...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 16, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameendelea na juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya...
Kuna wanachadema wanaumia sana kila Chadema inapotajwatajwa na wanaCCM mikutanoni
Niwatie tu moyo wawe wavumilivu kwani kwetu CCM wale CHADEMA ni sawa na shetani mbele ya Walokole ni lazima...
Nimesahau jina la Mbunge, naombeni Sana anayemkumbuka.....kama sio bunge la 2015-2020 basi ni hili la sasa ila Magufuli alikua hajavuta bado.
Alikuwa Mbunge wa kike na aliyatamka Maneno kuwa "kwa...