Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hakina chuki wala kısası na mtu bali kinaamini kutekeleza sera ya maridhiano.
Wasira ametoa...
https://youtu.be/eYqrDjwkZ1E?si=IAwIBaBwF_ZH9Mes
Redio DW ya Ujerumani leo mchana imeutangazia ulimwengu kwamba hali ya siasa Tanzania ni mbaya sana.
Akifanyiwa mahojiano mwanasheria na...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kiongozi akila rushwa katika shughuli za kiserikali, aliyepokea rushwa hana uthubutu wa kumchukulia hatua mtoa rushwa.
Wachina wanajulikana, na siyo siri, kutoa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wananchi wa Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na chama hicho...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, anasema chama hicho bado kina nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na kwamba kutosaini kanuni za maadili hakuwaondoi kikatiba kushiriki...
Mzee Msukuma amekiri kwamba wabunge wa Tanzania wana kinga dhidi ya tuhuma za rushwa
Kimantiki amesema wapo viongozi wanakwapua fedha za umma kwenda kuzitumia kugombea ubunge
Ameeleza viongozi...
Denis Itumbi ndiye Mshauri mkuu wa Ubunifu wa Miradi mikubwa na Mipango ya Uchumi wa Rais Ruto
Sijajua kwa Tanzania Msanii gani anaweza kumudu cheo hicho 😁
Mlale unono
DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa...
Wanabodi,
Vuguvugu la no reforms, no elections linaweza kuitikisa nchi na kuipeleka pabaya endapo hatutakuwa waangalifu. Katikati ya hulka na mihemko hii ya kisiasa, ni vyema kuwa na mtazamo...
Dodoma: Zoezi la Utiaji Saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Aprili 12, 2025
https://www.youtube.com/live/BgdcX0YUdHI?si=B53f6t_tREhsGBeD
Vyama 18 vya Siasa Vyasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi...
Siku Rais Samia alipomteua Mchengerwa kuwa Waziri wa TAMISEMI, alimsifia kuwa Mchengerwa ana kifua kipana!! Kila mmoja alitoka na tafsiri yake juu ya kauli hiyo ya Rais Samia. Lakini wengi...
Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa...
Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote.
Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu.
Kuna...
Kuna wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa hotuba hii kuelezea masuala kadhaa ya demokrasia.
Kama upo Team Lumumba na bando limekuishia usianze kujibu kama video hujaisikiliza.
Mzee Wassira amesema huko duniani wanahimiza kuheshimu haki za binadamu na Tanzania tumesaini lakini hatuwezi kulinda Haki ya mtu mmoja itakayopelekea kuvuruga Haki za watu wengi
Wassira alikuwa...
Kama mdau wa uchumi wa maendeleo na uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, ningependa kuchangia kwa uelewa wa kitaalamu kuhusu hoja ya TZS 1.14 trilioni inayofanyiwa mijadala mingi ya...