Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk Anna Makakala amesema uchunguzi wa uraia wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Ngara-Rulenge, Severine Niwemugizi unaendelea na wakikamilisha wataweka wazi...
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani...
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao...
Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na...
#TANZANIA: TULIPOFIKIA CHADEMA LEO, HATUFANYI TENA UCHAGUZI NA CCM, TUNAFANYA UCHAGUZI NA DOLA, HAKUNA TUME HURU HAPA - MAYALA
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Aden Mayala hii leo Aprili 18...
Myself nachoshwa na hizi ngenga za kidini, yaani nachukizwa na kitu chochote kinachotengeneza matabaka.
Leo hii ukichunguza Kwa umakini unagundua hizi dini zinachangia pakubwa kuleta utengano...
Nimefarijika sana na ushauri wenu kwa wenye Mamlaka kuhususiana na Reforms mbalimbali juu ya uchanguzi,
nina wapongeza sana, Mungu Muumba azidi kuwalinda, kutetea na kuwabarikini, kwa kukubali...
Wakristo kote nchini wametakiwa kuwa mfano bora wa kuigwa kwa kuendele a kuyaishi matendo mema kama walivyofanya wakati wa kipindi cha mfungo wa Kwaresma kwa kudumiasha upendo na kujaliana na...
CHADEMA hamjatutendea haki watanzania kumpa Uenyekiti wa CHADEMA taifa Lisu ambaye familia yake yote iko nje mkamuacha Mbowe mtuombe msamaha
Mbowe familia yake yote ipo Tanzania kasoro mtoto...
Wakati tunapoendelea kwenye mageuzi yanayoleta matumaini kwa Tanzania kuna kundi dogo sana linapinga kila kitu kuhusu Mageuzi haya.
Hili kundi lina nia gani na Nchi yetu? Ni akina nani...
Wadau.
Napitia kanuni za maadili zilizotolewa hivi karibuni baada ya kusainiwa na vyama 18, Tume na Serikali, nimeona kanuni ambayo kwangu inakanganya.
Kanuni hii ni 2.1 kuhusu wajibu vyama.vya...
Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari
Kwa akili zenu zilivyo...
Siku zote, wenye akili, wenye hekima na wenye dhamira njema ya kutatua tatizo lolote, wanapogundua kuna tatizo, hutafuta chanzo cha tatizo, kwani ukikidhibiti chanzo cha tatizo, tayari unakuwa...
Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo.
Kitendo cha Mbowe...
Nadhani Chadema wanashindwa kutofautisha Kati ya Haki na Utawala wa Sheria
Dunia haitoi Haki Bali hutoa Utawala wa Sheria
Haki hutolewa na Mungu wa mbinguni mwenyewe aliyeumba mbingu na dunia...
UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI
Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya...
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amemuomba Naibu waziri Mkuu Dr Biteko wafanye kila wawezalo kumaliza tatizo la watu kutekwa na Kuuawa
Dr Biteko anawakilisha Serikali kwenye mazishi ya Askofu Dr...