Viongozi wa dini wamekuwa wakienda maofisini na maeneo mbalimbali wanapoitwa na wanasiasa. Wakiwa mbele ya wanasiasa wote ugeuka nakusifia kwamba hali ni shwari
Lakini weekend hii wametoa matamko...
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla akizumguza katika Ziara ya kamati ya Utekelezaji ya UVCCM katika kata...
Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa...
Askofu Zakaria Kakobe leo akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, amenukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli.
"Rais...
TEC na Shura ya Maimamu waongeze sauti, huu upuuzi ukome. Hivi madehebu mengine hawaoni aibu wenzao wakiwa mstari wa mbele kupigania haki wao wakibaki kuwa chawa?🤔🤔
====
Mbunge wa Jimbo la...
Katika baadhi ya mataifa, makanisa, misikiti, na nyumba nyingine za ibada zilichukua nafasi muhimu katika kupigania uhuru na haki, kwa kutoa uongozi na kuhamasisha umoja wa kitaifa, na kusimama...
Ili uchaguzi uwe huru na haki ni vema Tume Huru ya Uchaguzi ikaajiri watumishi watakaosimamia uchaguzi mkuu 2025 ambao siyo watumkshi wa umma. Waigeni wenzenu wa nchi jirani ya Kenya ambayo Tume...
Rais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
Katiba ambayo ni msingi wa uendeshaji wa serikali imeweka wazi kuwa, Serikali itawekwa na watu, na itawajibika kwa watu kwa ajili ya ustawi wa watu.
Hii ina maana watu wanapaswa kuiwajibisha...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa(Mb), amesema kuwa amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa.
Waziri Silaa ameyasema hayo leo wakati...
Kuna watu wanaowabeza hawa viongozi wadini, Askofu #SEVERINE NIWEMUGIZI na Baba Askofu Benson Bogonza KKT .Kwa misimamo yao,nataka niseme hawa ndio viongozi wa kiroho,wanaoweza kukosoa maovu...
Watanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaasa Wakristo kuliombea Taifa amani, utulivu, umoja na mshikamano uendelee katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025.
Taarifa...
MJUMBE wa Baraza Kuu la Wazazi - CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mtwara, Ndg. Idrisa Yusuph Nannila, amehutubia katika kampeni kabambe ya kuhamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa...
Anazidi kujenga hoja kuwa mchakato wa katiba mpya utaanza upya lini japo nasikia kashaitwa uhamiaji kuhojiwa uraia wake lakini wenye mapenzi mema tuzidi kumuombea Askofu huyu asiyeogopa kusema ukweli.
Kwa ufupi
Kundi la watetezi wa haki za binadamu watachukuliwa kama wachochezi.
By Elizabeth Edward, Mwananchi
Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa Katoliki Ngara, Severin Niwemugizi amesema yuko...
Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe baada ya kukamatwa na kuhojiwa kwa Askofu Niwemugizi katumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter na kusema maoni yake juu ya swala hilo...
*SIRI IMEFICHUKA!!!!!!*
• Maaskofu waukana Ujumbe wa Pasaka.
• Maaskofu 4 wa TEC waliouandika wajulikana
• Majina yao haya hapa, kwa taarifa za uhakika.
Nimeshtushwa sana na taarifa...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuto...
Kwa muda mrefu kanisa Katoliki limekuwa na uhusiano wa karibu na utawala - na katika dunia ya leo kanisa limekuwa karibu na watawala - Ukaribu huo ulijenga kuheshimiana - Kanisa linapoanza kukosa...