Kisheria, chama chochote cha kisiasa ni legal entity. Kinaweza kufungua au kufunguliwa mashitaka kwa jina lake chenyewe (in its own right). Hivyo, ni upumbavu mtupu kuwakamata viongozi wa chama...
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge
Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana...
Asalam Aleykum wana JF.
Ama baada ya salamu hizo, niende kwenye hoja moja kwa moja.
Ndugu zangu, upo usemi usemao "Duniani, kitu pekee ambacho hakibadiliki, ni mabadiliko!".
Mabadiliko...
Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama.
Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji...
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni...
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu.
Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa...
Katika miaka 24 ya Mwalimu Nyerere kulikuwa na kesi 3 za uhaini.
Maasi ya 1964, kesi ya Mataka, Chipaka, na Bibi Titi, na mwisho kesi ya Hatty McGhee, Eugene Maganga, na wenzao.
Lakini tukumbuke...
Friends and our Enemies,
Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini.
Kinachoshangaza Episodes...
Wajasiriamali na wafanyabiashara katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Jumapili ya Pasaka ya April 20,2025 walisheherekea sikukuu hiyo pamoja na Mbunge wa Jimbo lao la Hai Saashisha Mafuwe...
Kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, halijawahi kuwa kosa kisheria kwa Mtu yeyote au kikundi cha watu kuhudhuria na kusikiliza kesi ya Mtuhumiwa Mahakamani, labda zile kesi za faragha ambazo...
Niwashukuru sana Kwa dhati Viongozi wote wa DINI ambao wameamua kutoka hadharani na kusema juu ya HAKI.
Kwa Tanzania ,HAKI imegeuka kua Chozi la Samaki.
Mwaka 2020 , nilinyimwa HAKI ya kuchagua...
Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!.
CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na...
Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama.
Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya...
Kama Wana CCM Wana dini zao wanazoziamini, ni kwa nini huwa hawapendi ukweli usemwe?
Dini yoyote ile iwe ya kipagani, kibuddha, kiislamu, kibaniani, kikristo, karibu zote msingi wake mkuu ni...
Moja ya kosa kubwa linalo fanywa na jamii kubwa ya waafrika ni kujitenga wao na viongozi na uongozi wa eneo husika.
Kosa kubwa ni kudhani kuwa Afrika tuna viongozi wabaya na sisi wengine tulio...
Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa...
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga, amesema ataendelea kuwa mkali na kusimamia kwa karibu matumizi ya fedha zinazotolewa na serikali kuu kwa ajili ya kutatua changamoto za...
Mngeiita tu SAMIA FESTIVAL… nadhani ingekuwa sawa tu. “kuliko kuweka hilo neno serengeti
Majina ya Festival huwa yanatokana na either:
• Unachotaka kukinadi
• Unachotaka kukienzi
• Unachotaka...