Kama CCM wana dini kwa nini wanauchukia Ukweli?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,829
Reaction score
50,508
Kama Wana CCM Wana dini zao wanazoziamini, ni kwa nini huwa hawapendi ukweli usemwe?

Dini yoyote ile iwe ya kipagani, kibuddha, kiislamu, kibaniani, kikristo, karibu zote msingi wake mkuu ni kusema ukweli.

CCM dini yao ni ipi ambayo haitaki ukweli usemwe?
 
CCM ni waabudu shetani, kwenye maandiko tunaambiwa kuwa shetani ni muongo na ni baba wa uongo wote duniani, na pia shetani kazi yake kuiba, kuua na kupora kama CCM wanavyoiba kura na kuua wapinzani
 
Watu wengi wapo kwenye dini kwa sababu walizaliwa tu kwenye hizo dini ila sio kwamba wanamaanisha sana.
 
Lakini si misingi ya dini hizo si wanaijua? Muislamu au mkristo wa kweli anachukiaje ukweli ukisemwa?
 
Kama Wana CCM Wana dini zao wanazoziamini, ni kwa nini huwa hawapendi ukweli usemwe?

Dini yoyote ile iwe ya kipagani, kibuddha, kiislamu, kibaniani, kikristo, karibu zote msingi wake mkuu ni kusema ukweli.

CCM dini yao ni ipi ambayo haitaki ukweli usemwe?
Wanaigiza, Mungu ni wetu sote na Mungu hajaribiwi ukitaka kujua utukufu wa Mungu ndiyo maana viongozi wa dini wamewakumbusha

Hizo mamlaka zenye haki zinatoka kwa Mungu vile vile mamlaka za kiburi na majivuno zinatoka kwa shetani

Hiki ni kipindi cha kupima nguvu za Mungu na shetani

Mamlaka zenye haki kwavile hutoka kwa Mungu huheshimika za kishetani hazidumu tena huanguka kwa fedheha

Silence surrenders public responsibilities
 
Back
Top Bottom