Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022..
Msingi...
Matukio ya kuteka, kupoteza, kuua, na sasa kushambulia wasiokubaliana na serikali vimeanza kuzoeleka nchini. Hali ni mbaya.
Mbali na ufisadi uliogeuka donda ndugu, jinai ya kuangamiza, kutisha...
KIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa...
Nimeanza kushtuka kuwa tunapoteza muda wetu bure kumuita muongo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro anaposema viongozi wa Chadema waliotekwa, kupigwa na kwenda kutupwa Ununio sio polisi wake...
Kilichotokea kwa kiongozi wa dini baada ya kuhamasisha haki na demokrasia kwa mamlaka kinapaswa kuchukuliwa kama kielelezo kwamba kweli nchi haina amani kuna haja ya mabadiliko kweli kweli kuondoa...
Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi...
Faustin Munish ameonya matumizi ya nguvu yanayofanywa na polisi dhidi ya raia kuwa si salama na inaweza kuleta machafuko.
Faustin ameyasisitiza hayo huku akihusianisha na matukio yaliyotokea...
“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
Kwa kipindi hiki cha msiba wa baba mtakatifu Francesco makadinali kote duniania watakuwa Roma.
Na ubalozi wa vaticani watatoa taarifa kwa mabosi wao kule Vaticani.
Tanzania inaendelea...
Hapana. Msituchukie wote. Mimi nina kadi ya CCM mwanachama toka mwaka 1985 madogo wengi wamekuja wamenikuta akina mwashamba hawa akina Tlatlaa, huyu mamasamia2025 ni mdada ambaye amekuja ccm miaka...
Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile...
Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani...
Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana...
Nina wasi wasi Kuna genge linamzunguka Rais Samia na kumziba macho na masikio Nina wasi hata na IDARA ya habari inamsomea Rais Samia habari anazotaka kuzisikia TU zile zinazomaema Rais hasomewi...
Kitendo cha John Mrema kufukuzwa Chadema ni cha kusikitisha mno, hasa ikizingatiwa kwamba, Mtu huyu tumeshirikiana naye katika mengi ndani ya Chama, (ofisi ya Katibu Mkuu imethibitisha kupokea...
John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi.
Taarifa ambayo Matukio Daima...
CCM kuweni makini msirudie makosa tena.
Hawa watoto wa viongozi hawawezi Kufanya Kazi nyingine .
Au waliambiwa wao ndio wanastahili kuongoza hii nchi .
Gharama alizompa Millardayo kwanini...