Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekutana na hii Article iliyoandikwa mwaka 2015 na Jean Paul Romeo Rugero kwenye mtandao wa HIMA-TUTSI EMPIRE | African Agenda – A new perspective on Africa imenisisimua. Na hasa ni kuhusu hawa...
3 Reactions
76 Replies
14K Views
Kama kweli kuna mtu mwenye akili nzuri ndani ya CCM, basi atuambie ubaya wa kuahirisha uchaguzi mkuu ili kanuni na taasisi za uchaguzi zirekebishwe ni nini? Angalia kwamba, tukiahirisha uchaguzi...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena...
54 Reactions
137 Replies
9K Views
Kama mnakumbuka Kipindi cha utawala wa Rais Benjamin Mkapa (1995–2005) kilishuhudia baadhi ya matukio ya kutisha ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, ikiwemo Zanzibar. Mojawapo ya matukio...
1 Reactions
5 Replies
726 Views
Muktadha wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC umegawanyika sana kutokana na mzozo uliotokana na kukataa kwa Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani baada ya muda wake kumalizika...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto. Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Chukulia Tukio la Mdude, mlango umevunjwa, Wamempiga, lazima Kuna traces walizoacha . Mzee Kibao , Sativa , KITIMA na wengineo ambao walipatikana wakiwa hai au Kufa. SIJAWAHI ONA KWENYE...
2 Reactions
14 Replies
615 Views
Kule Sudan, Omari Bashir aling'olewa na maandamani ambayo hayakuwa na hayakuanzishwa na vyama vya upinzani. Wale Gen Z sio wana siasa, ila muziki wao sio wa kitoto. Sasa Bongo tumekaa nyuma ya...
5 Reactions
26 Replies
854 Views
=== Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Faustine Mkenda amezikaribisha Kampuni, Watu binafsi au Mashirika ya kiria kuchangamkia fursa za kujenga na kuendesha Nyumba...
2 Reactions
10 Replies
806 Views
Watanzania wamekuwa wakimbizi kwenye nchi yao. Wanapigwa,wanauawa. Kila kukicha ni matukio ya kutekwa na kuuawa. Watanzania wanafungwa gerezani. Tazama masikini wakosoaji wa serikali wanavyokufa...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Kwa techinolojia ya sasa kuna, vifaa vingi sana vya siri vya kuwezesha kupata Data. Hii ni moja ya njia ya kudili na hawa Police CCM. Kwenye nyumba wekeni Camera za siri zisizo onekana kabisa na...
5 Reactions
15 Replies
700 Views
Salaam, Chama kikubwa Cha upinzani ambacho killipata kura za urais zaidi ya 40% mwaka 2015 ambacho ni chama kikuu Cha upinzani Hadi sasa kutokuwepo kwenye uchaguzi sababu ya serikali ya chama Cha...
0 Reactions
4 Replies
357 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani kwa nguvu zote tukio la kushambuliwa, kupigwa na kukamatwa kwa mwanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na mwanachama wetu, Mdude...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama huijui dunia unaweza kudhani Wanasiasa wanafaidi sana wao na familia zao Hakuna kazi yenye risk kubwa kama ya Siasa ikifuatiwa na Mitume na Manabii wa zama hizi za mwisho wa dunia na namba 3...
1 Reactions
6 Replies
495 Views
Tunaweza kuona ni swala dogo ila ni kwa sababu hatujasoma historia za watawala Mbali mbali huku Duniani. Binafisi nashindwa kumtenganisha Mheshimiwa na watekaji, kuna anacho kijua kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Ntaandika kwa uchache Ila kwa kutumia falsafa . Kwanza nakemea mambo yote yanayoendelea katika nchi yetu kuanzia kukamatwa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, kushambuliwa kwa Father Kitima...
2 Reactions
12 Replies
577 Views
Wakuu, Yaani serikali, CCM mpaka mama mnaishangaza dunia, na kufanya hata tusiamini kwa huu ujinga na upuuzi mnatenda. Mama hadi alikenua Sheikh wa BAKWATA kumuombea ampe tulizo la moyo kwa...
6 Reactions
13 Replies
705 Views
Rais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke. Ndiye kiongozi ambaye mtu anapotea au kuuawa kwa mazingira tatanishi ya kisiasa kisha anakuja na...
9 Reactions
25 Replies
958 Views
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini Tanzania Tanzania TARURA, Injinia Victor Seff ameeleza kuwa kukamilika kwa Mradi wa Uboreshaji wa miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya pili TACTIC...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Huu ni Ushauri tu Huyu Mzee hatakiwi kua Mikononi mwa Jeshi la hao wahuni wa Tanzania. Wakimchukua, watamfanya asionekane, alafu wataanza kutoa matamko kama wendawazimu japo hata matamko yao...
7 Reactions
10 Replies
985 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…