Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na...
14 August 2020
Hai, Kilimanjaro
Tanzania
Madhara ya Marufuku ya Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa na kutishia machafuko nchini
Kufuatia kupigwa marufuku shughuli za...
Wakazi na mashabiki mbalimbali wamekuwa wakilalamikia hali ya huduma katika Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Tanzania wakisema kuwa ukosefu wa vyoo vya kutosha ndani ya uwanja huo...
Nikiona wanaume wenye makalio makubwa na mapaja mapana kama wanawake kama Bashiti, siishi kujiuliza kunani au kuna namna. Wenye kujua hali au ugonjwa huu wanielimishe. Naogopa kuwahukumu wenye...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa(MCC) Salim Asas, amepongeza kwa kiwango utendaji kazi wa serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi ammwagiza IGP Wambura kutoa maelekezo kwa Makamanda wote wa mikoa kuimarisha uratibu wa usalama katika kipindi hiki ambacho kunatarajiwa kuwa...
Kwenye ukurasa wake wa X msemaji wa Chadema Brenda Rupia ameandika,
#OperesheniKatibaMpyaFreeTunduLissu inaendelea leo katika Kanda ya Magharibi, Mkoa wa Tabora.
Wananchi, endeleeni kukichangia...
Kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania, Maandamano ya Amani ni Haki kisheria
Baada ya vijana wa Tanzania kuisoma Katiba ya Nchi yao kwa kutumia miwani na kuiona Ibara husika wameanza kuulizia Ratiba...
Wanabodi,
Hiki ni kisa cha kweli, yaani non fiction, ila majina tuu ndio nimetumia majina bandia cha Kisa cha Binti Zanzi Aliebakwa na Mwarabu fulani, Mwarabu akamtwa kama mtumwa, kuwa ni mali...
Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣
Hebu pokeeni ukweli huu.
chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau
hao watu siyo wapiga KURA wenu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwepo kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia mkoani Katavi, kikituhumu baadhi ya askari polisi kutumia vibaya mamlaka yao kwa kuwafanyia wanawake...
Serikali inajua na Katambi anajua kuwa, moja ya sababu iliyopelekea kujadiliwa na mabunge haya ni pamoja na kuwanyima wananchi na vyama vya siasa uhuru na haki ya kukusanyika na kutoa mawazo yao...
YAH: UHAMISHO NA UTEUZI WA VIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu...
Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi...
Taarifa ikufikie popote ulipo, kwamba tayari Ile Oparesheni Kabambe ya Free Lissu na Katiba mpya imegusa Mpanda n.a. kuacha maumivu
Viongozi wa ccm wa eneo Hilo wamekimbilia maporini kujificha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya CCM na anguko kubwa tunabaki...
Hamjambo ndugu
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema Tanzania ina Vijiji 12,333 na mpaka sasa Vijiji 10,758 vina maji na Vijiji vilivyobakia ni 1,575.
Ameyasema hayo leo Januari 28, 2026 wakati...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia wananchi wa Wilaya...