Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali iko tayari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kiongozi au mtumishi yeyote wa umma atakayebainika kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za...
0 Reactions
6 Replies
171 Views
Tuna wanasiasa wengi sana wapo kwa maslahi ya matumbo yao tu lakini wana support siasa ambazo moyoni wenyewe wanazipinga. Moja yao ni Prof. Mkumbo na Katambi. Wote walikuwa wameongea sana huko...
3 Reactions
12 Replies
245 Views
Hamjambo wote! Kama swali linavyoeleza hapo juu. Mwenye Majibu ya haki aje hapa na atoe majibu. Pili, ni maeneo gani yaliyopo Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar? Maana GenZ wanasema...
10 Reactions
278 Replies
4K Views
Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka Kikatiba ya kutoa Amri kwa Majeshi au mkuu wa Jeshi la Polisi. Akizungumza leo Jijini Dar es salaam, Madeleka amesema...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
  • Redirect
Ni sifa au dongo?πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ "...Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa kugundua MIPANGO MIBAYA dhidi ya nchi yetu. Ili kuendelea KUIMARISHA USALAMA nchini, naiomba Serikali IWALIPE VIJANA FEDHA NYINGI ILI...
2 Reactions
Replies
Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Kuna...
2 Reactions
58 Replies
838 Views
Kwa kweli pongezi ziwafikie Kamishna wa DCEA Aretas Lyimo, pamoja na timu yake.Huyu mzee kapiga sana kazi kwa kweli operesheni zimeonekana kuwa na matokeo. Tofauti na miaka ya 2005 mpaka 2015...
1 Reactions
0 Replies
55 Views
Kuna hii poster ya CCM ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii Kwa hiyo mikutano ya CCM ni ruksa ila kwa wapinzani nongwa? Kwao ni ruksa? Soma Pia: Ufafanuzi kuhusu taarifa ya mkutano wa...
3 Reactions
9 Replies
371 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ametoa onyo hilo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuhusu madai ya baadhi ya viongozi kujilimbikizia mali kutokana na mikopo ya...
8 Reactions
56 Replies
1K Views
  • Redirect
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho...
0 Reactions
Replies
Views
1. Kwa kunukuu maneno ya Joseph O. Mbilinyi (SUGU) na kwa kuwa simu zake zote zilipotea katika purukushani yake na polisi - Mbeya, nitasimulia kidogo. 2. SUGU na John Mnyika walipigwa sana...
12 Reactions
88 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imewataja vigogo wa serikali, wanasiasa na viongozi wa dini watatu walionufaika na uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Naona kumekuwa kimya mno! Kuna lolote kweli linaloendelea? Who is pushing the agenda? Mbina ka eneo hako tumekasahau? WHO IS PUSHING THE AGENDA?
4 Reactions
18 Replies
376 Views
Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata...
3 Reactions
19 Replies
214 Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Paternus Niyegira, ameibua mjadala mzito kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, inayoonekana kulenga kuzuia...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Democratic Baada ya Kupoteza katika Uchaguzi Uliopita kumeibuka tetesi na minong'ono mingi sana ya chama cha Democratic Kumuadaa Michelle Obama Mke wa Barack...
3 Reactions
29 Replies
376 Views
Mchambuzi wa Siasa, Paternus Niyegira aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Kituo cha Crown FM, Juni 26, 2026.
1 Reactions
1 Replies
92 Views
Kwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji...
1 Reactions
77 Replies
791 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…