Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, Mhe. David Maraga mahakamani Kisutu leo hii. Ni maneno machache lakini yenye kuonyesha IQ kubwa ya Mhe. Lissu. Mtu mwingine wangeweza tu...
39 Reactions
69 Replies
4K Views
Wakuu, CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55 https://www.youtube.com/live/F2vujXgaQ8I?si=JXMwKc7Puisgjq6K Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama...
10 Reactions
95 Replies
5K Views
Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba. Pamoja na...
49 Reactions
134 Replies
5K Views
Kama mtu mwenye nia ya kuwa Rais wa Tanzania na muumini wa uchumi wa viwanda ni vizuri thaman ya fedha ya Tanzania kuwa chini sana ili ipunguze gharama za uzalishaji viwandani
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Dah! maskini Tanzania nchi yetu, sijui tunatokaje hapa tulipo kwenda mbele kama taifa. CCM dola ni yenu, mmeshika mpini kila sehemu kwa nini mnaogopa kufanya reforms? Kweli kudai reforms ndiyo...
2 Reactions
4 Replies
305 Views
Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia...
-1 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimepokea taarifa ya kusikitisha na ya kutia wasiwasi kutoka kwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Wakili Faith Odhiambo, kuhusu kunyimwa kuingia nchini Tanzania kwa Mawakili Gloria...
26 Reactions
84 Replies
5K Views
Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze...
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Safu Mpya Viongozi Wakuu wa CHAUMMA:- Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza safu mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu kwa kile walichoeleza ni kuleta mabadiliko ya kweli nchini: 🔹 Salum...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mama Samia anatakiwa kujiuliza kwanini 2021-2022 hali ilikuwa swari. Tatizo ni sera za ufisaji, ruhswa kuongezeka , utekaji kuongezeka na wizi wa kura 2024. Chadema ni wawakilishi tu lakini kuna...
8 Reactions
8 Replies
484 Views
Wakuu, Kesi ya Lissu ni suala la kitaifa. Watanzania tuna maslahi nayo maana Uhain si na uchochezi wa kusumbua Watanzania na kufanya tukose amani ni suala serious sana (hata kama tunajua ni...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Miaka yote inafahamika Mikutano ya Chauma hufanyikia Ubungo Kibangu au Mbagala Zhakhiem, sasa imekuwaje Mkutano huu ufanyike Golden Tulip? Juzi alisikika Mzee Rungwe akieleza kwamba Mkutano wao...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Martha Karua aliyezuiwa kuingia Tanzania awasili kenya apokelewa na wanaharakati aiponda CCM ,Serikali na Raisi akiwa kwenye uwanja wa Jomo Kenyatta Ni wazi anaingilia mambo ya ndan9 ya Tanzania...
14 Reactions
77 Replies
7K Views
Malori makubwa yanapita juu ya Flyovers jijini Dar na kuna hatari kubwa mambo mengi yakatokea ikiwepo uharibifu wa miundombinu husika iliyojengwa kwa kodi zetu wananchi lakini lolote linaweza...
1 Reactions
2 Replies
937 Views
Askofu wa Jimbo la Geita katika hitimisho la Ibada ametoa kauli nzito ya kufikirisha na kuzingatiwa na wanasiasa wanaohama vyama kwenda kwingine. Ombi na ushauri wa baba huyu wa kiroho ni kwamba...
5 Reactions
12 Replies
950 Views
Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Alliance for Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohamed amechukua fomu kuwania urais Zanzibar, akieleza vipaumbele vyake ni kujikita kwenye kilimo, elimu, afya...
0 Reactions
6 Replies
445 Views
Wadau kuna baadhi ya machawa huwa wanadhani kusifia viongozi kwa manufaa yao binafsi hawawezi kupata madhara. Sasa machawa wa club ya Simba akina kisugu, mzaramo, mwijaku na wengine wanapaswa...
1 Reactions
3 Replies
355 Views
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea kukumbwa na mtikisiko wa ndani, mamia ya wanachama wake wanaripotiwa kujivua uanachama, huku wakihusishwa na mpango wa kujiunga na...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika...
1 Reactions
6 Replies
695 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…