Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Baba Asikofu popote ulipo POKEA salamu Yangu sifi leo Muuumini wako mwema. Baada ya salamu nakuomba Baba utoe Neno dhidi ya Mh Tundu Lissu aliyenusulika kuwa kwa risasi 16 Sasa ana kesi ya uhaini...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Wakuu! Hawa Chawa wa Rais Samia wanajitahidi sana kufosi mambo ili ionekane Rais anapendwa 🤯 == Generation Samia kwa kushirikiana na Umoja wa Machinga Dar es Salaam wameandaa Kongamano kubwa...
0 Reactions
6 Replies
468 Views
Katika mataifa yanayojitambulisha kama ya kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni uti wa mgongo wa utawala bora. Lakini pale ambapo kura zinaibiwa — kwa hila, ujanja ujanja au nguvu — si tu...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Ninaanza kutoa pole kwa rafiki yangu mwanaharakati kutoka Kenya ndugu Bon, Baada ya salamu za pole naomba nitumie nafasi hii kukuomba samahani dhidi ya madhira yote uliyoyapitia kwa kweli...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau wenye kunishauri na ujinga wangu mnishauri na kunielimisha ila mwenyewe nimekwama. Eti nawaza Nchi hii ili ule mema yake unatakiwa kutosema hili ovu hasa linapogusa walao keki ili...
2 Reactions
0 Replies
208 Views
Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Kuna mambo mawili 1. Kuwa out of control 2. Kujitoa ufahamu, hii ni makusudi kabisa ili tu ule maana kwa njia zingine umeshindwa kujipatia pesa au chakula. Ni sawa na kuokota makopo jalalani...
1 Reactions
12 Replies
523 Views
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, atashiriki Africa Day Marathon Tarehe 25 Mei, 2025 itakayofanyika JNICC, Dar es Salaam, Tanzania
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Nyinyi vijana mliobahatika kupata madaraka jitahidini kuwa chachu ya mageuzi. Mnageuka kituko pale mnapodhani vijana wa Sasa ni sawa na wale wa 1977. Siasa sio nguzo isiyoweza kubadilishwa...
2 Reactions
19 Replies
416 Views
Kuna hisia kwenye jamii kutokana ma matukio ambayo yamekosa mwelekeo. Ukilaza haina maana hawajasoma lakini je wanafanya mambo kwa kufiria manufaa ya taifa. Je tuna wakina Makinda, mongella ...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi" Tume ya...
51 Reactions
68 Replies
3K Views
https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam Jumatano Mei 21, 2025. Kikao hicho kimeitishwa kipindi ambacho chama hicho kinapitia misukosuko...
4 Reactions
8 Replies
954 Views
Wakuu, Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa ============================= Serikali ya Kenya kupitia...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
RESILIENCE ni USTAHIMILIVU Kwenye 4R za Rais wetu, “R” moja inahusu USTAHIMILIVU yaani kwa Kijaluo, RESILIENCE. Kwa sasa marubani wetu wa nchi, niwasihi zimeni “R” zote, bakizeni RESILIENCE...
35 Reactions
81 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi wa tukio la tarehe 02 Mei, 2025 la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Mpaluka Said Nyagali maarufu Mdude Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
21 Reactions
276 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…