Mshindani aliyejiondoa kwenye Uchaguzi ujao, kwa lugha ya kisasa mnasema "ameweka mpira kwapani"
Yanini akusumbue.....kwanini usiachane nae?
Kwasababu amekuwa si mshindani wako tena.
Naomba niwe...
Kati ya Watanzania zaidi ya millioni 60 huenda ni Watanzania laki 5 tu ndio wako tayari kuiondoa madarakani CCM, wengine wapo tu kufuata upepo. Atakayewapa kula siku ya uchaguzi huyo ndiye watampa...
Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha .
Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini...
Huku mitaani kuna viongozi wa CCM wanatembea na mafungu ya vitambulisho vipya vya wapiga kura, vitambulisho hivi ni vinavyotengenezwa kinyume na utaratibu na siyo kutengenezewa, hapa mamlaka...
Kwa wenye akili tumemuelewa Gwajima.
Kwa maneno yake ukimsikiliza neno kwa neno utaelewa kuwa kwa sasa kuna kikundi kinachowajibika kwa Rais tu ambacho kinafanya vitendo vya Utekaji na Mauaji ya...
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation...
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ndugu Othman Masoud Othman (OMO) amesema kuwa
“Kama tunataka mageuzi katika nchi hii hatuwezi kukaa kitako tukafunga...
Naibu katibu mkuu wa Chaumma mh Benson Kigaila amesema ile G 55 ndio ilikuwa brain inayoendesha Chadema hivyo kuondoka kwao kumefanya Chadema ibaki na magalasa matupu
Source: Upendo tv
Chukua hii clip Kila mtu azungumze kwa Lugha yake mama halafu tuchambue mantiki ya kile anachoongea mbunge wa Tanzania bungeni na kile anachoongea huyo mwanafunzi kwenye mijadala ya kielimu...
Mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Halima Yusuph Nabalanganya, Mei 22, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini kupitia chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kuchukua...
Mbunge wa Iringa mjini Jesca amesema Vijana wa Tanzania siyo kama wale Gen Z wa Kenya waliokosa Uzalendo
Vijana wa Tanzania wamelelewa kizalendo wanafundishwa kutafuta fedha kihahali siyo kuuza...
Askofu wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika, Mhashamu Emanuel Bwatta amekemea vitendo vya makanisa kutumika kwa ajili ya shughuli za kisiasa hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, leo Mei 27, 2025, wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu jijini Dodoma, ameeleza wasiwasi...
Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu.
Bunge la...
Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Mheshimiwa Cecil David Mwambe, amesema kuwa hadi kufikia sasa, utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020 umefikia...
Mwisho anasema, MONEY TALK!!.
Hawa ndio Wabunge ambao ,ukiwaambia Tunataka Katiba Mpya, Na Mabadiliko TUME huru ya Uchaguzi, wako tayari kukutafutia Genge la Kukuteka.
Na hii Sasa ndio CCM...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, na Mbunge wa Mlalo ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CCM Bungeni Rashid Shangazi, wamepongeza uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa...
"Mfano huyu kibao, Unajisikiaje kama baba yako anashushwa kwenye gari halafu anakutwa amekufa"
"Kuna huyu Mdude, kama mume wako anakuja kuchukuliwa nyumbani halafu mpaka leo haonekani...