Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui?
Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha...
Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu.
Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe...
Kama kawaida Chadema ilianza kwa Sala za Mashehe na Maaskofu ili kuweka Ulinzi wa Mungu.
Pichani ni Baba Askofu Mwamakula akiondoa nuksi Jukwaani
Baada ya Dua kishindo cha Elimu kikaendelea...
Ni muhimu kwa viongozi kufanya tathmini ya kina juu ya kiasi cha ruzuku ambacho chama kilikuwa kinapokea awali. Baada ya kupata taarifa sahihi, wawajulishe Watanzania waziwazi ni kiasi gani cha...
Kwa mujibu wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Nyasa Mchungaji Msigwa ni kwamba Chadema ina jumla ya wanachama Laki 4
Ndio najaribu kulinganisha Idadi ya wanachama wa CCM na Chadema kiutendaji ni...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu amemshauri Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Hamad Abdallah kuanzisha 'Nyumba za bei nafuu' na kuziita...
Halima Mdee akichangia kwenye Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa malalamiko yake kwa Waziri Deogratius Ndejembi akisemea migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe.
Chama cha ACT Wazalendo kinapinga na kulaani vikali matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu, unyanyasaji wa kijinsia, na ukiukwaji wa mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaofanywa na mamlaka...
Salaam wandugu.
Waungwana husema , Uchungu wa mwana aujua mzazi
Sasa alichokisema Askofu Ngwajima amekisema kwa moyo wa dhati kabisa na kwa uchungu mkubwa kuonyesha jinsi gani mtoto alivyo wa...
"Utalii wa kisiasa ni pale ambapo mwenzako anazindua Ilani kwa ajili ya wananchi, wewe unashughulika kuimba taarabu kwa wananchi majukwaani na mitandaoni." — Alloyce, P.R.
"Watu wasiojulikana, hapana asiye julikana, wanajulikana. Hawajulikani na sisi, inawezekana hawajulikani na watu wa usalama lakini wanajulikana na wazazi wao hata majina wanajua, wanajulikana na...
Hali si Hali nchini Tanzania.
Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.
Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka...
Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa...
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo...
Wakati Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiomba msamaha Waganda kwa makossa yaliyofanywa wakati wa utawala wao wa miaka 40, Rais wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekataa...
====
The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion.
If successful, these...
Jaji Mutungi alikuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki mazishi ya Askofu mkuu wa zamani wa TAG Dr Lazaro
Ibada ya mazishi ilirushwa mubashara na ITV
Ahsanteni sana
Kweli nimeamini kila zama na kitabu chake, unaweza ukapandishwa na mtu na ukashushwa na jamii ya wajinga ingawa umuhimu wako unabaki palepale na siku ukifa ndiyo wajinga watajua umuhimu wako...
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe.
Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi...