Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila dalili zinaonesha tunaingia kwenye socialist ecomic system ambayo inaua uchumi. Baadhi ya disadvantages za socialist au comand au plannd economy ni zifuatazo. 1. No political freedom 2. Slow...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Gwajimanaiza - Mwanasiasa anayesimama na wananchi katika kuwatetea maovu wanayotendewa na viongozi/watawala walio na nia ovu, lakini chama chake kinamtosa ili tu kutetea nafasi ya kuendelea...
4 Reactions
11 Replies
841 Views
Kundi kubwa la Wamama wa Tanzania , Ambao wengi Wana Elimu za kawaida kabisa , Wanaelewa hii Hoja ,japo ni mfano !!. Fikiria unamwambia Mama wa Moshi huko Ndani Ndani... Mtoto wako anatekwa...
3 Reactions
4 Replies
502 Views
Salaam! Watu watofaitishe uchungaji na unabii, Nabii ni kinywa Cha Mungu, Hakika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu Msaada wa Manifesto ya Chama ya CCM 2025-2030 msaada wa softcopy
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Tazama picha hawa ACT wazalendo wanachokutana nacho kutoka kwa wananchi ni aibu tupu. ACT wazalendo mnatakiwa kuchora ramani zenu za siasa upya watanzania hawaelewi mnapigania nini. Chauma wao...
1 Reactions
7 Replies
591 Views
Kwa ufupi sana Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya. Naomba kujua wale wakenya walifanya...
3 Reactions
17 Replies
825 Views
Kesi hii ni nzito. Serikali ya JMT kuamua kumshitaki mtu huyu mahakamani haiwezi kuwa ilikurupuka. Na kesi yo yote ikishakuwa mahakamani huwa ni marufuku kuingilia kwa njia yo yote. Sheria huwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimefurahishwa sana na Prof Kitlla Mkumbo wakati akisoma ilani ya CCM leo pale Dodoma Yeye na Wasira ni hazina kubwa sana.
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Cha ajabu zaidi Gwajima alikuwa anahudhuria vikao vya Kamati kuu ya Chadema huku akiwa mwanaccm Cha kushangaza mno Askofu Gwajima ana Kanisa Korea Kusini Je, Chaumma watampokea Askofu Gwajima...
1 Reactions
5 Replies
705 Views
Muslim University of Morogoro kwa nini msimtunuku honorary doctorate Mheshimiwa Hashimu Rungwe Spunda kwa mageuzi ya Kisiasa nchini? Nini kinakwamisha?
2 Reactions
10 Replies
625 Views
Unaweza kudhani ni rahisi, la hasha Wasanii hutengeneza kila aina ya kiki ili majina yao yapate utambuzi wa kitaifa kiumaarufu lakini wanashindwa Mlale unono 😁
0 Reactions
3 Replies
359 Views
Kwenye hili tusameheaneni tu makada wenzangu wa chadema. Kama mshabiki wa Yanga nitashiriki uchaguzi kama injinia atatangaza nia ya ubunge, na kura ntampa pamoja na Samia. Hayo ma no reform yenu...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Tar. 15/7/2024 chama Cha kikomonisti Cha China kilifanya mkutano wake mkuu pale Bejing Agenda kubwa ilikuwa kujadiliana kupungua Kasi ya kupanda kwa uchumi na kuzorota kwa sekta ya ujenzi...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Mbunge wa Bumbuli na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasabahi Wajumbe wa Mkutano wa CCM uliofanyika Jijini Dodoma ambapo yeye pia amehudhuria Mkutano huo Maalumu.
1 Reactions
4 Replies
758 Views
Kwa wale wasioelewa maana ya jambo hili Tukufu au labda wale wanaosahau haraka, tumewaletea tena hoja kabambe zilizowekwa na Chadema ili kukazia madai yao Hizi hapa Kwa kukazia madai yao pia...
18 Reactions
65 Replies
2K Views
Yaani katika mazingira haya Heche anaelimisha Watanzania. Raisi anachamba watu huko kwenye uchawa. Tuombee Mungu taifa hili https://youtu.be/wCKdLPq3-kU?si=y54SPPvcUkVuMbYd
11 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Viongozi wanataka wabaki madarakani hadi kufa, ni vile tu pressure za watu na external influence. 2. Viongozi hawataki kukosolewa wala kuulizwa au kuwajibika kwa matendo yao. 3. Wasaidizi wao...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani...
3 Reactions
116 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…