PreGE2025 CCM inajidanganya na inatudanganya na sisi

PreGE2025 CCM inajidanganya na inatudanganya na sisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,247
Reaction score
3,365
Tar. 15/7/2024 chama Cha kikomonisti Cha China kilifanya mkutano wake mkuu pale Bejing

Agenda kubwa ilikuwa kujadiliana kupungua Kasi ya kupanda kwa uchumi na kuzorota kwa sekta ya ujenzi kutokana na madeni Hali iliyofifisha ujenzi haswa wa MAJENGO makubwa

China hawakutani kuzindua vijitabu vyenye kurasa kadhaa vilivyojaa propaganda zisizotekelezwa vilivyopewa jina la ilani

China walikutana kujadiliana kwani Kasi yetu ya kiuchumi inapungua


Leo hii RAISI Samia anapotumbia kuwa walitoka makomredi kwenda china kujifunza namna ya kushika Dola ni mafunzo ya aina gani na yalitunufaishaje sie wananchi.
 
Back
Top Bottom