Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??.
Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku...
"Tatizo la kuwaamini sana viongozi wa dini ni kwamba tunasahau kuwa hata Shetani alipanda madhabahuni akiwa na Biblia mkononi na nukuu sahihi za Zaburi." — Alloyce, P.R.
Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa
1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu
2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila...
Ubishi mkubwa umezuka,Batilda Buriani anagombania ardhi na wanakijiji Ngorongoro.
Kwa hiyo wananchi wamefanya mkutano,amefika mwakilishi kutoka ofisi ya DC.
Yule afisa anawaambia,ok tuanze...
GT
Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni
Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu
Baadhi ya kauli hapa...
🇹🇿 MHE EZRA CHIWELESA AKABIDHI AMBULANCE KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA KATIKA KATA YA NYAKAHURA, AKEMEA MATUMIZI YA LUGHA ZENYE UKALI KWA WANANCHI KUTOKA KWA WAHUDUMU WA AFYA - BIHARAMULO.
📸 Updates...
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana...
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina...
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio...
Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by...
Kauli hiyo Kabambe imetolewa na Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Tanzania.
Taarifa yao hii hapa
Pichani chini ni Mwananchi wa Tanzania akifurahia namna Takukuru ilivyoamua kukomesha Watoa...
Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na...
My Take
Mama apewe maua yake ,hivyo uchaguzi wa 2030 utafanyika chini ya Katiba Mpya
Pili kuanzia 2026 CCM watabadilisha namna ya utendaji kazi wao Kwa sehemu kubwa wakitambua fika kabisa...
John Mrema aliyetimukia CHAUMMA akitikoea CHADEMA na kufanywa Mkurugenzi wa habari wa chama hicho alivyokuwa katika mahojiano hivi karibuni na Cza wa Clouds alisema mkakati mmojawapo wa CHAUMMA...
Wakuu
Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii?
"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao...
Tunawashukuru Watanzania kwa kuendelea kutuchangia.
Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700.
Tunawaomba...
Ukosefu wa “Sera ya Kutenganisha Maisha ya Majeshi na Maisha ya Siasa za Kidemokrasia” umekuwa ukifungua milango ya “demokrasia ya kijeshi,” yaani “militarised democracy,” jambo ambalo linapingana...
Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag.
Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka...