Nyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu.
Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau...
Traore majuzi kasema 'Naijenga Burkinafaso Kwa ajili ya wanyonge '!!
Akaenda mbali zaidi, akasema 'Nauchukia Ufisadi na viongozi Mafisadi ambao wametanguliza Maisha yao mbele kuliko Raia wetu...
Tunazungushana na drama ambazo hazina maana. Kama kuna watu hawapingi utekaji tumaomba mtupe sababu zenu tuzijadili bila hivyo tufunge mjadala kama wote tutakubaliana kwamba hakuna sababu yeyote...
"Pale ambapo taifa linashuhudia kuibuka kwa wanasiasa na viongozi wa dini wenye hulka ya kuropoka, kueneza uongo, na kuchochea hisia bila mantiki, huo ni uthibitisho wa kuwepo kwa changamoto ya...
Huwa wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo chutama. Yaani chuchumaa.
Nimeshangaa sana. Kuna mtu kavuliwa nguo. Yeye kainama... Sasa tunashangaa kusudio lake nini? Amejitoa mhanga? Hajali au Kiburi?
Hii Ngoma enzi hizo ilijaa vituko kama watanzania fulani wa Leo.
Ilikuwa inatokea wapiga Ngoma wanapopita mtaani, watu wanawafuata kwa mapigo ya Ngoma, mwishowe wanajikuta wamefika mtaa mwingine...
Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.
Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
Juzi nilimsikiliza yule jamaa wa Yanga Anajiita Muro, nikamsikiliza yule jamaa Anajiita Furaha aliyetemeshwa tonge mdomoni
Na nikawasikiliza CCM siku wanazindua Ilani ya Chama Aisee to be honest...
Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri.
Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu...
Baba Askofu tangu press yake ya juzi Kuna maneno anayarudia rudia mara kwa mara nayo SI mengine ni kuwa wanao Teka sio polisi, sio usalama wa taifa sio wanaCCM
Sio wanajeshi wa Jeshi la wananchi...
CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina
==============
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na...
Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.
Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika...
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda...
Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa...
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe...
WAZIRI KOMBO AWASILI KOSOVO KWA ZIARA RASMI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ajili ya...
Wadau,
Kuna kila dalili kwamba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaweza kuingia kwenye mjadala mzito na usiotarajiwa wiki zijazo kuhusu matukio ya utekaji, kupotea, na mauaji ya raia...
Huko bungeni Ulaya leo kutawaka moto. Kitini hawatakuwapo Tulia wa Zungu, wala mama yake na taarifa.
Wapenda haki wameshafanya vitu vyao:
Siyo Bora tungeshtakiwa MIGA?
Hivi wale wazee wa...
Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa
Watateka watu...