Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
1,003
Reaction score
2,236
Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo.

Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
 
Mbona ni user wa Jamiiforums hiyo rudisha?
 
Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Mnamchochea Gwajima ajione Mwamba, sawa. Lakini mmesahau mlimchochoea Lissu, yupo ndani. Mlimchochea Mdudu, hajulikani alipo. Kwahiyo, ninyi mnawachochea wengine ninyi mpo chini ya uvungu na majina bandia!

Wanaokubali ujinga huu wa kuamini kuna watu nyuma yao ni wajinga sana na wapumbavu na wanastahili kupata kitakachowapata!
 
Unakaribishwa pia.... Hakuna mtu anaechochea bali tunaenda kusikiliza neno la Mungu
 
Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Simshauri azungumzie hilo suala alilotamka Rais. Yeye ahubiri Neno la Mungu. Asubiri pale watakapomtupa ajiunge upande wa pili ndipo azungumze. Kwa sasa atulie tu!
 
Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
🤣Kesho mchungaji wangu anisamehe sadaka yangu anakula Gwaj. Nitakuwa front seat
 
Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche
Wanafiki wakubwa, wanachukua habari wanaacha kuzitangaza wanazipeleka kwenye Magogo
 
Unakaribishwa pia.... Hakuna mtu anaechochea bali tunaenda kusikiliza neno la Mungu
All the best. Naamini ningelikuwa mimi nina mamlaka, akisema chochote kibaya kwa Serikali au Rais, namkamata mbele yenu "waumini wake". Namkata makofi. Nafunga Kanisa lake milele labda alipeleke Kenya.

Na wewe na waumini wenzako hamtafanya chochote zaidi ya kuloloma mitandaoni.
 
Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Kazi kwa kina Mwashamba,Tlatlah,Choice&co kuizuia radhi,wakishindwa mshahara unakatwa rasmi kwani mmeshayumba boss hawaelewi tena!
 
Back
Top Bottom