Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanachokifanya wanajua wenyewe. Ila mimi nilikuwa namuangalia usoni, hakuwa na nuru kabisa. Je, anafanya kitu ambacho anajua siyo sahihi? Jibu tumwachie yeye, naowawakilisha na Mungu wake.
1 Reactions
4 Replies
731 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Pia...
1 Reactions
2 Replies
553 Views
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya udaktar KCMC UNIVERSITY mwaka wa pili ni bado umri mdogo but najikuta nafatilia siasa mda mrefu kuliko fani yangu na roho inanilazimisha kutaka kukemea...
3 Reactions
22 Replies
625 Views
Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo. Kweli kua uyaone
2 Reactions
33 Replies
1K Views
GARI LA HUDUMA JIMBONI BIHARAMULO. Mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2020 mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa kwa moyo wake mwenyewe alichangamoto ya usafiri jimboni hasa...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Toka John Mrema ahitimu elimu ya Ualimu na kupata Gentlemen pass hajawahi kuwa na maisha nje ya Chadema au siasa. Gari ya kwanza kumiliki Mbowe alimpa zawadi ya Nissan Safari ambayo ilikuwa Mali...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna wajinga wengi hawaelewi Uchaguzi ni takwa lla kikatiba na sheria za uchaguzi vilivyoidhinishwa na bunge Hata CCM ingesema haitashiriki uchaguzi lazima ufanyike na vyombo vya dola...
0 Reactions
12 Replies
401 Views
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika. Wadau...
28 Reactions
184 Replies
10K Views
Kichwa. Cha habar chatosha Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kilichifuatia wakamuuliza ChatGPT "Unaijua katiba ya Tanzania" Robot la sam likasema "Ndio" Wakauliza tena "Tudeal nae vipi" ChatGPT akacheka kwanza, kisha akasema "Got you... huyu kavunja...
1 Reactions
9 Replies
631 Views
Hii serikali ya inajipambanua kutumia mabavu kujibu hoja. Baada ya kitima kushambuliwa pengine inafikiria kuifungia taasisi kongwe kwa kujihusisha na sisasa, wakatolik tupewe taarifa mapema ili...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora...
24 Reactions
86 Replies
4K Views
Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali...
9 Reactions
119 Replies
6K Views
ccm, Samia na machawa wenu iwafikie taarifa kuwa barabara nyingi za lami kuunganisha mikoa na wilaya zimechakaa! Mifano michache ni barabara za Arusha mjini! Ongezea barabara kuu inayounganisha...
2 Reactions
14 Replies
583 Views
Miaka ile ya Mrema anagombea Urais nchi ilikuwa ya moto. Askofu Kakobe alikuwa upande wa Mrema. Alikuwa wa moto. Ghafla akaambiwa kanisa lake limejengwa kwenye njia ya umeme mkubwa, linatakiwa...
2 Reactions
13 Replies
896 Views
Watu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea. Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi. Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Ushahidi Mwanana huu hapa Wadau wakifuatilia Nondo na Spana zinazopigwa bila kujali mvua Pichani ni Pedeshee Maranja Masese akiambiwa Waja leo waondoka mwakani
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni...
18 Reactions
50 Replies
8K Views
Rais Samia akipokea Tuzo Maalum kutoka Bungeni Dodoma Mei 31, 2025 https://www.youtube.com/live/dtSWOacZX3s?si=52R5DMNF-khUWAEl =============================================================...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu ni Kila siku kuanzia saa 10, Maombi hayo atayaongoza yeye Mwenyewe. Aseme HATAKI KUONA UTEKAJI unaendelea nchini.
39 Reactions
142 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…