Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mnawazea vibaya sana kana kwamba wamejinyea. Wameenda Chaumma kwa njaa zao waacheni. Nimeona video nyingi zikisambaa mitandaoni mkiwazomea. Najua hamutawataki lakini hakuna haja ya kuwazomea.
0 Reactions
15 Replies
638 Views
Mkurugenzi wa Madrasa na daawa mkoa wa Dodoma Shekhe, Yahaya Kivuma, amesema siku zote wanaotumika kuchafua amani ya nchi ni wale wenye nauli ya kukimbilia nchi nyingine hivyo Watanzania hawapaswi...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Mimi siyo mwanachama wa chama chchote lakini kwa hali ilivyo ya Chadema ni vyema kuwarudisha wabunge 19 wenye nia ya kufanya siasa ndani ya chadema. Nadhani Lisu aliwahi kutoa hata utaratibu wa...
0 Reactions
20 Replies
963 Views
Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia. Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi. Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!. Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi...
0 Reactions
6 Replies
913 Views
Nimefuatilia kwa umakini hotuba yake alipokuwa anachangia harambee ya shule ya watoto wenye mahitaji maalumu. Body language na facial expression inaonyesha kuwa kisu hajikata nyama peke yake...
19 Reactions
42 Replies
3K Views
Naona viongozi wa Chadema wanapuyanga tu huko mikoani kushawishi wananchi wasishiriki uchaguzi mkuu Ndio nauliza kwani hizo Reforms zinatakiwa kufanywa na Wananchi? Au bunge? Au Tume ya...
1 Reactions
12 Replies
412 Views
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna kundi la wakristo wakisema waislam sio wapenda haki na kua wanatetea Samia, mara waseme tatiso ni elimu, hii yote ni kutokana na matamko ya BAKWATA, mkiendelea na utaratibu hii mtaifitinisha...
1 Reactions
10 Replies
544 Views
Team Maalim ilipohama CUF na kujiunga na ACT hukuwahi kuwasikia wakiwashambulia CUF, sio Lipumba , Sakaya wala Nachuma. Sii Jussa, Maalim mwenyewe wala Mansour Hii tofauti na viongozi wa CHADEMA...
1 Reactions
7 Replies
475 Views
Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM. Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni...
12 Reactions
173 Replies
9K Views
Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Huwa narudia mara kwa mara kusikiliza hizi nasaha za Mufti Zubeir Huu ni mwaka wa uchaguzi basi tuchague viongozi kwa akili na siyo kujichagulia tu kwa kushawishiwa bila uelewa wako madhubuti...
0 Reactions
8 Replies
487 Views
MOJA ya Jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kuchunguza Malalamiko au tuhuma zinazotolewa na wananchi dhidi ya kiongozi fulani wa umma, Mwigulu Nchemba amekuwa...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇 Kwa ufupi sana kwa wale wasio na...
31 Reactions
221 Replies
16K Views
Hii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mahakama ya Tanzania imeondoa Maudhui ya Kesi ya Tundu Lissu kwenye Akaunti ya Mtandao wake wa YouTube. Hii ina maana gani? Ikumbukwe, zaidi ya watu 18,000 walifuatilia kesi hii 'Live' kwenye...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Natoa tu angalizo tusije kurudia ya 2015 einzi za akina Sadifa Heshima ni kitu cha bure Ahsanteni sana!
0 Reactions
17 Replies
362 Views
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na serikali yake walikuja na dhana ya 4R kama dira ya kujenga taifa lenye umoja, maendeleo na demokrasia. Dhana hii ya 4R ilijumuisha: 1. Reconciliation (Maridhiano) –...
0 Reactions
7 Replies
468 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…