Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imebaini kuwa baadhi ya wanaoingia maeneo ya Bunge huvaa sare zinazoashiria au kuzoeleka kuvaliwa na wafuasi...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na...
3 Reactions
19 Replies
932 Views
Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai...
39 Reactions
78 Replies
5K Views
Akiwasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka...
1 Reactions
2 Replies
491 Views
"Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta...
27 Reactions
47 Replies
3K Views
Ukifuatilia muitikio wa agenda wa No Reform No Election utagundua kuwa ni agenda yenye umaarufu kupita chama chochote cha siasa! Muda mrefu sana ukihoji watu sababu ya kutopiga kura utasikia hata...
4 Reactions
5 Replies
573 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche, amemtaka RPC wa Tabora kuacha upotoshaji kuhusu tukio la kushambuliwa kwao wakati wa mkutano wao. Pia, Soma: Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha...
28 Reactions
121 Replies
8K Views
Wakuu, Rasmi sasa Mwigulu Nchemba ametangaza kiasi cha pesa ambacho Serikali kitatumia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mwigulu amesema kwamba kwa mwaka huu, Serikali imetenga Tshs Bilioni 741.5 kwa...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
"Never test hot water by the thumb finger, some mistakes don’t forgive second chances."— Alloyce, P.R.
0 Reactions
7 Replies
494 Views
Hakimu au jaji anatakiwa aongozwe na nguvu ya maadili katika kufikia uamuzi au hukumu juu ya jambo liloletwa mbele yake. Huwezi kuridhia maombi (grant wishes) ya walalamikaji ambao wanataka...
19 Reactions
44 Replies
3K Views
Mawakili wa waleta maombi katika kesi ya CHADEMA na wanachama watatu wa chama hicho waliofungua kesi dhidi ya chama hicho wakilalamikia mgawanyo wa mali wamedai upo upotoshaji kuhusu kesi hiyo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
My Take Uchaguzi utafanyika kama kawaida na kuzuia hawawezi licha ya hizi porojo wanazoimba. Wamefikiria Maisha Yao ya Kisiasa na mstakabali wa Chama chao kuanzia 2026-2030? Au ule utaratibu wa...
3 Reactions
73 Replies
2K Views
Mahakama imetoa agizo kwa Jeshi la Polisi Nchini kuhakikisha linachunguza na kumfungulia kesi ya jinai Wakili Edson Kilatu, anayedaiwa kughushi nyaraka na kuingilia mfumo wa Mahakama kwa...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
My Take Nyundo ya Mahakama Je inaweza kuwa ndio mwisho wa huo ujanja ujanja wa kutembeza bakuli la tonetone? 🤣🤣 Pia soma Breaking News: - Pre GE2025 - Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, kwenye Kamati ya Bunge, katika Ukumbi wa Pius Msekwa...
2 Reactions
58 Replies
3K Views
Viashiria vyote vinaonesha hivyo. Tunao mitaani, ndugu zetu, tena wakubwa wanasema bila figisu zilizofanyika, Mama asingelipita! Alikuwa anabwagwa katika round ya kwanza! 19 Januari 2025 Na...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zilizonifikia zinasema Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima huko mafichoni aliko na wapambe wake ameshajirekodi video zinazoelezea matukio mazima ya utekeji Lengo la...
58 Reactions
239 Replies
15K Views
Tafakari,, Mwaka huu wa uchaguzi 2025 una migogoro mingi hatarishi kuliko miaka yote- 1). Kuna mgomo baridi ya kimichezo kutokucheza na wanaenda mbele wanatishia kuandamana, kati ya YANGA UPANDE...
2 Reactions
1 Replies
385 Views
Unapokopa unawekeza katika miradi inayozalisha zaidi kuliko ile gharama ya kukopa(cost of borrowing), miradi mikubwa tuliyoiona ni ile iliyoanzishwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli, miradi wa...
1 Reactions
10 Replies
786 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…