Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni utafiti wangu mdogo nilioufanya jana na leo,sikutegemea kama kesi ya Antipas Lissu ingefwatiliwa na watu wengi kiasi hiki. Leo wanaume kwa wake wanaijadili kauli ya Tundu lissu kwa nini...
3 Reactions
13 Replies
778 Views
Badala yake akachaguliwa kwa shingo upande Masatu Wassira. Je waliogopa kuhusishwa na mambo haya ya sasa ukiwemo Utekaji, au wameshiba hela za bure? Ina maana hawajui mihela wanayogawana ccm...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
MNEC Mlao: Umoja wa vijana wa CCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi, twende kuwasemea vijana wenzetu wenye sifa ya kuwa viongozi kwenye vikao vya maamuzi
1 Reactions
1 Replies
288 Views
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
-8 Reactions
56 Replies
2K Views
Katika mazingira ya kisiasa ambapo haki za msingi za raia zinaendelea kukandamizwa, maandamano ya kiraia yanabaki kuwa njia halali na ya mwisho ya wananchi kudai haki yao. Kufuatia kukamatwa na...
4 Reactions
6 Replies
483 Views
Kwa Kauli ya Bashe kuna haja ya kuona sasa Mamlaka ya Urais pia inafaa kutiliwa shaka kwenye decisons zake na kwamba sio sehemu salama sana kwenye kuamua HATMA ya Resources za Taifa kwa kuwa it...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Hellow! Mlituambia kuwa Nchi itaendelea kukopa kwa maendeleo ya taifa, Mkaemdelea kusema, tunakopa kwa sababu tunakopesheka. Akaibuka spika wa bunge na kuonya ukopaji wa spidi kuwa una madhara...
6 Reactions
10 Replies
587 Views
Mlipokuwa mnaita mama, mama, mama, sasa haya ndiyo madhara yake. Ukimueleza ukweli anaona kama unamkosea unamvunjia heshima mama. Ukimkosoa anaona hastahili kukosolewa, unamkosoaje mama yako...
3 Reactions
7 Replies
425 Views
Kesi ya Marejeo iliyopo Mahakama Kuu Dar esn Salaam iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri Na. 14496 ya 2025 ambayo ilipangwa kutajwa leo Juni 17, 2025...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa namna Vijana wanavyouawa Sijajua hiyo Katiba mpya inamsaidia nani Citizen tv wameonyesha mchuuzi wa barakoa akipigwa risasi ya kichwa na polisi hadharani mchana kweupe Nimeogopa sana...
2 Reactions
19 Replies
546 Views
Wakuu Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye...
18 Reactions
155 Replies
8K Views
Wakili wa Kimataifa, "Robert Amsterdam" amerusha mawe mawili gizani kwa kuisakama na kuiponda serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan kwa ukandamizaji wa haki, sheria na uonevu...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
GTs Walioko karibu na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tafadhali mfikishieni ujumbe huu kwa unyenyekevu na mapenzi mema: Hotuba yake ya leo kuhusu Mpina pamoja na zingine zenye mwelekeo wa...
1 Reactions
7 Replies
608 Views
Hiyo ndio tafsiri yangu, kwamba kusimamisha shughuli za chama, inagusa hata hao maofisa wa makao makuu. Nashauri jengo hilo lifungwe
0 Reactions
9 Replies
484 Views
Aisee kitu ambacho Lissu anashindwa kuelewa Tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anaowatetea sasa miezi miwili imepita Lissu yupo ndani...
14 Reactions
114 Replies
4K Views
Umeambiwa hadharani kuwa wewe hufai kuwa Mbunge wa jimbo. Hii ni wazi kuwa chama chako hakitakupitisha kugombea. Wewe kusema kuwa Kisesa inahitaji madaraja na huduma za kijamii kuboreshwa...
6 Reactions
4 Replies
394 Views
Usiandike kingeni chochote zaidi ya namba moja au mbili kadri ya mtazamo wako, kama huwezi kuandika namba, basi andika maneno yaliyopo aidha kwenye namba moja au mbili. Usiandike namba zote kwa...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo...
17 Reactions
95 Replies
8K Views
Mbunge wa Makete, Festo Sanga ambaye amejinasibu kuwa tarejea Bungeni katika Bunge lijalo, amesifia uamuzi wa Serikali kusaini mikataba ambayo itawezesha Serikali kupata madini mengi ya dhahabu...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Mwanzo Hadi Mwisho wa Hotuba ya MPINA, Wananchi walionekana kufurahia Hoja na kwakuonyesha Hisia Kwa Hoja Makini za Mbunge wao, wananchi wamepiga Makofii, vifijo na nderemo. Alipoingia Rais...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…