Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa...
1 Reactions
0 Replies
565 Views
Hakika kazi imeendelea. Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia. Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
0 Reactions
6 Replies
635 Views
Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili. Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali Shehe THE BIG...
1 Reactions
5 Replies
502 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla; "Uongozi haununuliwe, ukiona mtu ananza kuhangaika huko anapita kutembeza senti...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni, Comrade Furaha Dominick amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe. Tukio hili limekuja baada ya Bunge kuvunjwa rasmi na chama...
1 Reactions
1 Replies
505 Views
Aidha Professa ameimiza kila kata kuwe na ilani inayoendana na hali ya kata husika. Pia amesimamia hoja kuu ya kuendelea na uchaguzi ingawa Kuna mchakato unaendelea wa kuwa na Tume huru ya...
0 Reactions
4 Replies
377 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam. Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Mwezi April mwaka huu 2025, Benki ya Dunia walifuta mkopo wa kiasi cha shilingi Dola za Marekani Milioni 150 sawa na fedha za Kitanzania zaidi ya Bilioni 400 za mradi wa REGROW Mbuga ya Ruaha...
2 Reactions
16 Replies
820 Views
Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
0 Reactions
4 Replies
338 Views
Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
25 Reactions
67 Replies
5K Views
Anaitwa Daudi Masasi. Huyu ni mzaliwa wa Iringa pande za Nyanda za Juu Kusini. Mbali na kuzaliwa na kukulia Iringa pia ni mfanyabiashara kwa muda mrefu akiwa pia mdau wa habari. Alianza kuvuma...
2 Reactions
6 Replies
762 Views
Kama unabisha karibu sana jamvini Nimekaa pale nje ya Kanisa Nawatakia Sabato njema 😁
2 Reactions
18 Replies
548 Views
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati. Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya...
15 Reactions
84 Replies
3K Views
Aliyekuwa Naibu Meya wa Ilala Ojambi Didas Masaburi, amechukua fomu leo kuwani Jimbo Jipya la Kivule, Jijini Dar es Salaam. Ojambi kabla alikuwa Diwani wa Kata ya Chanika, Wilayani Ilala. Soma...
0 Reactions
4 Replies
734 Views
Jerry Silaa, amejiunga rasmi katika mchakato wa kuwania ubunge kwa kuchukua fomu ya kugombea Jimbo la Ukonga, jijini Dar es Salaam. Hatua yake ya kuchukua fomu inakuja wakati ambapo Chama Cha...
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Kwa vile kuishi ni kujifunza basi na mimi sitachoka kujifunza Naomba aliyeelewa hoja hii anieleweshe
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Kada wa CCM, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Linus Silayo sasa rasmi anaenda kutia nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo. Linus Silayo ni jina linalotajwa sana katika...
1 Reactions
2 Replies
419 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…