Aliyeelewa hapa anisaidie na mimi kuelewa

Aliyeelewa hapa anisaidie na mimi kuelewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,044
Reaction score
285,644
Kwa vile kuishi ni kujifunza basi na mimi sitachoka kujifunza

Naomba aliyeelewa hoja hii anieleweshe

Screenshot_2025-06-27-21-03-36-1.png
 
Mkuu Erythrocyte nadhani sasa hivi tuachane na hayo ya madeni maana wakati waja watatapika tuu kile walichokula haramu!
Sasa hivi tujikite na kwa nini Bunge halikuvunjwa leo na litakuwepo hadi 3rd August? Jee ni kuwa suala la reforms limeshinda sasa zinasubiriwa zipitishwe ndio livunjwe? Au kuna kamchezo kanachezwa kijanja sasa tuchochee kuni zaidi? Hebu tujuzane maana nikama mapambazuko yaja kwa kasi
 
kama ulishawahi kukaa na watoto na kuwachunguza utaelewa, kila kitu ni “siyo mimi , siyo mimi, ni yule” mtoto never takes responsibility kwa matendo yake hata siku moja …
Hasa watoto WA kikeke Hawa akina young samia NI hataree
 
Mkuu Erythrocyte nadhani sasa hivi tuachane na hayo ya madeni maana wakati waja watatapika tuu kile walichokula haramu!
Sasa hivi tujikite na kwa nini Bunge halikuvunjwa leo na litakuwepo hadi 3rd August? Jee ni kuwa suala la reforms limeshinda sasa zinasubiriwa zipitishwe ndio livunjwe? Au kuna kamchezo kanachezwa kijanja sasa tuchochee kuni zaidi? Hebu tujuzane maana nikama mapambazuko yaja kwa kasi
Sijatoka kwenye reli mkuu nimeileta hii kama chambo
 
Digrii 2, moja ya Biashara ya kimataifa
Sio rahisi mambo uliyouliza kuyaelewa kwasababu kusoma digrii au masters hakukufanyi kuwa mwelewa wa kila kitu. Kuna jamaa yangu kafanya PhD akiwa na mentor Profesa wa Kimarekani lakini mimi nilikuwa "shadow mentor" wake hata kama nina masters ya ...........!!" Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom