Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama Albert Chalamila alibarikiwa saa 10 jioni na Usiku wa Siku hiyo hiyo akateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa DSM basi wote mliopokea Baraka akiwemo Mh P wa Kinondoni njia ni nyeupe bungeni Yesu...
4 Reactions
13 Replies
755 Views
Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali, Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami? Angalia hii clip Mwamposa akipngea. Tukio la leo...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Nadhani kwa sasa Mwamposa ni Nabii na Mtume mkuu Africa mashariki Wakenya wamemtaka Ruto badala ya kujenga Jengo la kuanudia Ikulu awekeze Imani ya Roho mtakatifu kwenye mioyo ya Wakenya...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Katika ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI) 2025, Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki, ikishika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 duniani. Ingawa Tanzania imeporomoka...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Mm ni muumini wa dhana ya wajibu wa raia kwa viongozi, kama ulivyo wajibu wa viongozi kwa raia. Kama raia wema tunao wajibu kuikosoa serikali inapokosea ili ijisahihishe, vilevile tunao wajibu wa...
2 Reactions
2 Replies
322 Views
Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Center, Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, akiongea kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Baada ya kumsikia RC Chalamila akiyasema haya pale Kanisani kwa Mtume Mwamposa nilicheka sana Benjamin Netanyahu geukia msitu 😂
1 Reactions
4 Replies
348 Views
  • Poll Poll
1. October Tunatiki 2. No Reforms No Election Haya kazi kwako
1 Reactions
15 Replies
502 Views
Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
4 Reactions
34 Replies
964 Views
2 Reactions
7 Replies
607 Views
Akizungumza leo kwenye uzinduzi wa hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hategemei kuona hema hilo linatumika kudanganya watu na badala yake anatamani kuona...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Kulinda kura katika uchaguzi kwa kutegemea Majabali,marungu na Majambia bila Katiba au Sheria au Kanuni na Tume yenye Uhuru wa kutosha ni sawa sawa na kuwa na Mlinzi Kipofu kwenye ghala lako...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeelekeza waandishi wa habari waliotangaza nia ya kugombea nafasi za kisiasa kusitisha mara moja shughuli zote za kihabari katika kipindi chote cha...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Wakuu . Mimi nimetembea duniani kote USA UK France German N.k Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani . We...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Wito unatolewa kwa watia Nia wote waliochukua Fomu kukutana katika hafla itakayofanyika Kidimbwi. Lengo NI kujenga network na kubadilisha mawazo. Muda: Mtataarifiwa kupitia Wajumbe wa nyumba 10...
1 Reactions
15 Replies
613 Views
Habari ya wote humu ndani kama kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
"Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Matendo ya utekaji wa watu kama vile kina Mdude, Kina Soka, Kina Sativa na watu wengine inawafanya watu kama watendaji wa Vijiji kuona kwamba wanaweza...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Nabii Mkuu wa Makanisa ya Ngurumo ya Upako (N.Y.U), Dkt. Moses Kasambale Geordavie, ametoa wito kwa Watanzania kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Rais wa Umoja wa Mitume na Manabii Tanzania, Nabii Dkt. Joshua Aram Mwantyala, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya ajabu, kiasi cha kumfananisha na mtu aliyepewa msaada wa...
3 Reactions
20 Replies
809 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…