Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeingia kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kasi ya aina yake. Hadi sasa, zaidi ya wanachama 5,475 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika...
Tanzania kuna mihimili mitatu,
1. Serikali
2. Bunge
3. Mahakama
Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa...
Ni kwenye dua aliyowaalika Dk watia Nia ya Ubunge DK Chakou Tindwa na Abdalla Ulega.
Hata hivyo Ulega alichimba hakuhudhuria
Asema jimbo linataka mtu muungwana kwa wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa...
Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni...
Askofu Bagonza amesema kuwa kuna mambo mawili magumu siku kugombana nayo siku hizi, kama uwezo wa kuepuka ugomvi wa hayo mambo mawili, yaepuke kwani huwezi kuyashinda
Amesema ugomvi wa kwanza ni...
ni aibu sana kwa serikali kushindwa kuleta mabasi hata ya dharura tu kwa ajili ya kuokoa hii hali iliyopo sasa! hivi kweli mtu anasubiria kituoni lisaa na nusu na bado anapanda kwa kugombania hadi...
Jambo pekee naloweza kumwambia Bashungwa Muda huu hapa, Ile ndoto yake ya kua Rais ASAHAU !! HAITOTOKEA AWE RAIS.
Jamaa mbele ya Maafsa Magereza akaonekana akisema, Hana Mfungwa ambaye anatakiwa...
Wakuu!
Mzee Rungwe anaendelea kukisuka Chama huko!
==
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa ameongoza kikao cha viongozi wakuu wa chama...
Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa.
"Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametamka wazi akiweka angalizo la uwepo wa wakimbizi ( niseme WAHAMIAJI) kwenye teuzi tena level za maamuzi ndani ya nchi yetu.
Nimeona wachambuzi mbalimbali...
Na Benny Mwaipaja, WFM - Dar es Salaam
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika eneo la kuhifadhia makontena-Bandari Kavu Dar es Salaam (DICD), na...
Wakazi wa wilaya ya Ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya...
Mh Waziri.
Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua.
Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki...
Sio kwamba hakuna wasanii wanaoipenda CHADEMA au watu maarufu wanaoipenda CHADEMA ila wametawaliwa na hofu" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Mwanzoni nilidhani Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti ni kibabu kilichostaafu jeshi, kumbe ni kijana tu yaani sikuamini cha ajabu anajiamini mno.
Mkoa wa Kagera ulikuwa...
Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,
Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi)...
Wakuu!
Katika moja ya matamko yake, Wakili Boniface Mwabukusi alizungumza kwa hisia kali kuhusu namna wapinzani wanavyotazamwa ndani ya mfumo wa haki, akisema:
"Ukiwa mpinzani ni adui wa kila...
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa...