Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa...
Nina hakika Ili neno nashukuru Mungu lilirotambkwa zaidi ya mara 4 na kwa mfulurizo kutoka kinywani mwa padri Kitima ni msiba na moto utakao wachoma watawala mpaka siku ya mwisho
Swali kwa...
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka...
MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI
1. Rufaa za Wabunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42...
Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI.
Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura
Vile vile ameonya kuwa ni kosa...
Tanzania imeonekana kurudi nyuma kiutawala bora kutokana na vipimo vinavyotolewa na Mpango wa pamoja wa Kujipima Kiutawala Bora (APRM), ikiwa na kuminywa kwa demokrasia, uhuru wa kujieleza na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii Leo Tarehe 6-7-2025 Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Amekwea Ndege na kupaa angani kuelekea Nchini Comoro.
Ambapo...
Mtume Mwamposa amesema Kanisa lina jukumu kubwa la kulinda Amani ya nchi hivyo madhabahu zitumike ipasavyo
Mtume amesema hayo kwenye kikao cha Kamati ya Amani ya mkoa wa DSM
Source Upendo tv...
Kama hujui basi nakushauri kasome historia ya hawa Viongozi wabeba maono ya EAC
Mtanisamehe Mimi siyo mwandishi wa magazeti kama Mwalimu wa Grade III Lucas Mwashambwa
Ahsanteni sana 🙏
CCM imefanikiiwa mno kutengeneza nidhamu za uoga kwa wanachama wake.
Hawawezi furukuta nje ya CCM na pia ndio maana CCM hawataki reform kumbe hizi reform zingewasaidia hata wao wenyewe.
Kassim...
Padri Kitima Kwa sasa Viongozi wapo juu ya wananchi, Hawawasikilizi tena Wananchi wanalalamika lakini wanawapuuza kama sisi wanavyotuuza, sasa hicho kiti kizuri kwa sababu unapowanyanganya watu...
Kuna watu wanaaminisha watu kwamba reforms ndio mwarobaini wa kila kitu, reforms ndio masiah.
Kama kuna nchi imefanya reforms ya kuanzia katiba ya nchi mpaka ya chama cha kufa na kuzikana cha...
Waziri mkuu Mh Majaliwa amewataka TRA kuwasaka wafanyabiashara raia wa kigeni wanaofanya Biashara nchini na hawalipi kodi
Majaliwa ameagiza wachukuliwe hatua kali
Source Upendo tv
Mlale unono 🧃
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela...
Lengo la No reform no election sio watu wachukuwa mawe na kupiga polisi. Lengo kubwa ni kuleta mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Kama watalazimisha ni kukakikisha kwa Watanzania wengi...